Baada yakudakua mawasiliano ya mke wangu na kukuta Jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo watafutane ampatie..
Baada ya siku mbili tatu nakaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia
mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudakua
mawasiliano yake tena.
Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha.
Kiumweli ni zaidi ya wiki tatu sasa sijamuuliza au kuonyesha tofauti
yoyote kwake, ila bado najiuliza ni sahihi kwa mwanamke tena mke wa mtu
kupewa zawadi ya chupi au brazia na mwanaume tofauti na Mume/Mpenzi
wake..!
Lakini pia je huyu mwanamke anaweza kuendelea kua na vigezo vya kuendelea kua mke.
Lamwisho ni mwanamke / Mwanaume anapokua anaamua kumnunulia mwenzake nguo za ndani anakua anamaanisha nini?
Natumai mawazo yenu yatanisaidia Asante.!
Jumapili, 12 Februari 2017
Home »
» Mke Wangu Anunuliwa Nguo za Ndani na Mwanaume
Mke Wangu Anunuliwa Nguo za Ndani na Mwanaume
Related Posts:
Mfanyakazi wa benki afikishwa mahakamani kwa kuiba pesa za abiria walipotea na Malaysia airline Mwanamke mmoja mwenye cheo cha juu katika bank kubwa iliyopo Kuala Lumpur Malaysia pamoja na mumewe wameshtakiwa kwa kuiba pesa kutoka katika account za abiria na wafanyakazi wa ndege ya Malaysia iliyopotea kwenye bahar… Read More
WATU 32 WAMEFARIKI KWENYE MAPOROMOKO YA ARDHI Watu 32 wamefariki katika maporomoko ya ardhi(landslide) katika mkoa wa Hiroshima nchini Japan.Maporomoko hayo yamesababishwa na mvua kubwa zilizonyesha kwa saa 24 kuamkia Jumatano asubuhi zikiwa sawa na kipimo cha … Read More
Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu ajali iliyotokea Tabora Aug 19. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora ambayo ameitoa leo kwa Waandishi wa habari ni kuhusu ajali ambayo ilitokea jana Aug 19 majira ya saa 9 alasiri ambayo ilihusisha mabasi mawili. Mabasi hayo ni AM Coach na S… Read More
Israel na Hamas waendelea na mapigano Mgogoro kati ya Israel na Palestina unaendelea. Pande zote mbili zimekuwa zikishambuliana kwa maroketi. Wakati huo huo, Misri inataka mazungumzo ya kuleta amani yaanze tena. Hali ya wasiwasi imerejea t… Read More
Waandamanaji wataka Nawaz Sharif ajiuzulu Waandamanaji wanopinga serikali nje ya bunge la Pakistan, hawaonyeshi ishara yoyote ya kuondoka,hadi pale waziri mkuu Nawaz Sharif atakapojiuzulu, dai ambalo serikali imekataa kwa misingi ya kuwai kinyume n… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni