CCM tayari wameshatengeneza video ya mama Maria Nyerere akiwaomba akina 
mama wotewampigie kura Magufuli. Video hii iko inasambaa Whatsup.
Kaongea mengi kuwa ni mchapa kazi na Mwadilifu. Swali langu kwa bibi 
angu mama Maria, ikiwa CCM itashindwa, heshima yote tunayokupa sisi 
wananchi itakuwaje? Maana yake wote watakaoongoza rohoni mwao watakuwa 
wanajua kabisa hukuwapenda ila basi.
Ni bora mama ungebaki neutral. Na ungejikita kutuombea tuchaguane kwa Amani ili uendeleee kuwa Mama wa Taifa.
Ila tutasamehe tukiamini imekulazimu, maana hakuna jinsi
Alhamisi, 22 Oktoba 2015
Home »
 »  Hatimaye Mama Maria Nyerere Ampigia Kampeni Magufuli






0 comments:
Chapisha Maoni