Biblia Takatifu kitabu cha Mathayo 19:3 unasema “Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, kwa hiyo wao si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.”
Ndoa ni moja ya heshima kubwa hapa duniani ambayo kila binadamu hutamani kupata heshima hiyo kwani imeelezwa katika Vitabu vya Dini kuwa ndoa ni moja ya nusu ya matendo yako kama utatekeleza vile inavyopaswa, je uko tayari kuoa au kuoelewa? Dayna Nyange anahaya ya kusema.
Mkali huyo wa “Natamani” ameongea kupitia XXL ya Clouds Fm Kipengele cha 255 cha Perfect Chrispin, Nyange anatamani kuwa katika maisha ya ndoa lakini mara nyingi ndoa huwa chungu.
KWANINI CHUNGU?
Dayna ameeleza kuwa unaweza kuingia katika ndoa lakini usifikie yale uliyoyaazimia haswa kutokana na uminifu kuwa mdogo miongoni mwa wapendanao .
“Kuingia moja kwa moja katika ndoa inahitajika ujipange kwanza japo nahitaji lakini maisha yaliyopo ndani ya ndoa ndio huwa magumu tumshirikishe Mungu wakati tunapotaka kuoa au kuolewa ama katika kukaribia suala la ndoa” amesema Dayna Nyange
Jumatatu, 2 Mei 2016
Home »
» DAYNA NYANGE AITAMANI NDOA
DAYNA NYANGE AITAMANI NDOA
Related Posts:
Alichokiandika Steve Nyerere kuhusu kujiuzulu uongozi Bongo Movie. Kupitia mtandao wa picha yaani Instagram aliyekuwa Rais wa Bongo Movie Unity,Steve Nyerere leo ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwenye klabu hiyo ya Bongo Movie huku akishindwa kuweka sababu iliyomfanya kujiu… Read More
WAATHIRIWA WA MABOMU MBAGALA WALALAMIKA Nyumba iliyoharibiwa na bomu kama inavyoonekana. Mkutano kati ya waandishi habari na Waathirika wa Mabomu Mbagala, ambao umefanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mbagala Kuu ,jijini Dar-Es-Salaam mapema leo . Waathi… Read More
Shearer asema Welbeck atang'ara Arsenal Mshambuliaji wa Arsenal Danny Wellbeck kushoto Mshambuliaji mpya wa kilabu ya Arsenal Danny Welbeck anaweza kufunga mabao 25 kwa msimu mmoja ,hayo ni matamshi ya aliyekuwa … Read More
MAMA MZAZI WA NEY WA MITEGO AMTILIA SHAKA MWANAE Mama mzazi wa mkali wa bongofleva Nay wa Mitego ameongea kwa mara ya kwanza na millardayo.com na kusema ana wasiwasi na mwanae ambae hivi karibuni ametoa video mpya aliyoifanya nchini Kenya. Amekiri kweli kwamba si… Read More
MFUNGWA AKUTWA NA SIMU MWILINI Tatizo la kuingiza bidhaa kimagendo ndani ya magereza ya Kenya imekuwa kero kubwa kwa maafisa wa magereza. Kwa baadhi ya watu simu ya mkononi ni kifaa tu cha mawasIliano ilihali kwa wengine ni kifa ambacho kinaweza … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni