Kama vile amesahu ahadi za Ukawa kutoa elimu bure kuanzia Darasa la kwanza hadi chuo kikuu. Jana Msigwa alipinga vikali swala la elimu bure huku akipata kigugumizi kujibu kwa ufasaha Maswali ya Muandishi wa ITV. Kwa hili kweli kabisa Mimi nimekushusha kabisa kwasababu Muitikio wa elimu bure ni mkubwa sana na kila mtu anafaidi keki ya Taifa kupitia hili la elimu bure na bila shaka ni jambo bora kabisa kumpa mtoto wa kitanzania elimu.
Pili ni kupinga swala ya Kubana matumizi hasa kutotumia hela kwenye sherehe na kuzielekeza kwenye Maendeleo ni jambo jema kabisa kila mtu analisapoti kasoro wewe tu Mtumishi. Magufuli anania ya dhati kuua Siasa za kuropoka ropoka . Zije siasa za watu wabunifu kama Professa J maneno machache vitendo vingi.
Jumatatu, 2 Mei 2016
Home »
» Mch. Peter Msigwa, kwa Mahojiano ya ITV Jana Umechemka
Mch. Peter Msigwa, kwa Mahojiano ya ITV Jana Umechemka
Related Posts:
Mke Wangu Anunuliwa Nguo za Ndani na Mwanaume Baada yakudakua mawasiliano ya mke wangu na kukuta Jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo watafutane ampatie.. Baada ya siku mbili tatu nakaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii … Read More
Majaliwa Afunguka Issue ya Madawa ya Kulevya Inayoratibiwa na Makonda.. JUMLA ya Watanzania 578 wamekamatwa na kufungwa katika magereza ya nchi mbalimbali kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Akiahirisha mkutano wa sita wa Bunge la 11 mjini Dodoma juzi, Wazir… Read More
40 ya Nillan: Wolper Achafua Hali ya Hewa, Atoa Povu Hadharani Mbele ya Wageni WAKATI sherehe ya kutimiza 40 kwa mtoto wa Diamond na Zari, Nillan ikiendelea, staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper Massawe amekerwa na wanaomsema vibaya Zari na kuamhua kuwafungukia hadharani akitoa povu lake mbele ya… Read More
Paul Makonda Afunguka Kuitwa na Bunge Kwa Ajili ya Kuhojiwa Home Siasa Paul Makonda Afunguka Kuitwa na Bunge Kwa Ajili ya Kuhojiwa Paul Makonda Afunguka Kuitwa na Bunge Kwa Ajili ya Kuhojiwa Siasa … Read More
Ubuyu wa Moto Moto..Masogange Afunguka A to Z Juu ya Kupangiwa Mjengo na Makonda… ISHU hot iliyotrendi wiki hii ni kuhusu kigogo mmoja kudaiwa kumpangishia Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ mjengo wa maana uliopo Makongo Juu jijini Dar ambapo Ijumaa limechimba ili kujua uk… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni