Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila amemfukuza kazi Naibu Waziri wa Posta na Mawasiliano, Enock Sebineza kutokana na utovu wa nidhamu baada ya kuvuja kwa video mitandaoni ikimuonesha akijichua nyeti zake akiwa ofisini.
Taarifa iliyotolewa na Televisheni ya Taifa nchini humo (RTNC) imemnukuu Rais Kabila akisema Waziri Ruberangabo ameliaibisha taifa kutokana na kitendo alichokifanya katika ofisi ya umma bila woga.
Wananchi wa Kongo wamemtaka Waziri huyo ajiuzulu baada ya video hiyo kusambaa mitandaoni tangu mwishoni mwa wiki ikimuonesha waziri huyo akijichua ofisini kwake licha ya uwepo wa bendera ya nchi hiyo na picha ya Rais Kabila.
Jumatatu, 2 Mei 2016
Home »
» RAIS KABILA AMFUKUZA KAZI WAZIRI ALIYEPIGA PUNYETO OFISINI
RAIS KABILA AMFUKUZA KAZI WAZIRI ALIYEPIGA PUNYETO OFISINI
Related Posts:
MAHAKAMA YA MAFISADI KUANZA RASMI LEOMAHAKAMA Maalumu ya kushughulikia Makosa ya Rushwa na Ufisadi, inaanza rasmi leo Julai mosi. Pamoja na kuanza kwa mahakama hiyo, serikali imeanza mchakato kuifanyia marekebisho Sheria Namba 11 ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa… Read More
DADA WA DAIMOND ESMA PLATNUMZ AKIRI KUMPENDA SANA PETIT MAN AWAOMBA NYAKU NYAKU WASIMNYAKUE Dada wa Diamond ameamua kufunguka ya moyoni na kudai anampenda sana mume wake Petit Man ambae walitengana kwa muda kutokana na kutokuelewa hapa na pale lakini kwa sasa inaonekana wameweka mambo sawa...Ameandika haya… Read More
FAIZA ALLY AFUNGUKA KUMPENDA SUGU KUTOKA MOYONI..ADAI HAOGOPI KUCHEKWA KWA KIGEUGEU CHAKE Faiza Ally Amefunguka haya Katika ukurasa wake wa Instagram:Leo nimeamka akili yangu inawaza mapenzi tu... Mkatae mkubali mapenzi yana nafasi kubwa sana ktk maisha... Na mapenzi hayana baunsa...😅 Mimi nampenda sana… Read More
UN WAKUNWA NA KASI YA JPM SHIRIKA la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limeeleza kuridhishwa kwake na utendaji wa Rais John Magufuli katika mapambano ya rushwa, kuongeza uwajibikaji na ukusanyaji wa mapato. Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini, Alvaro… Read More
WASANII NA VIONGOZI WA WCB WAALIKWA NYUMBANI KWA RAISI MSTAAFU JAKAYA KIKWETE Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete Jumatano hii aliwaalika wasanii wa label ya WCB pamoja na viongozi nyumbani kwake na kula nao chakula cha mchana. JK ambaye ni mmoja kati ya marais ambaye amesupport sana wasanii … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni