Diamond Ameamua Kuwakata watu vidomo wanaosema kuwa yeye na Zari kwa sasa hakuna mawasiliano mazuri kisa mrembo aliyecheza kwenye video mpya ya Rayvan...kwa kumpost Zari kwenye page yake ya Instagram...Tetesi za Diamond kutoka na msichana huyo zimekuwa gumzo kubwa instagram ....
Roho ya SIMBA!!!.... wanajaribu ila hawatokaa Waweze... Nakupenda Mpaka Naugua! @Zarithebosslady 😙 #Mmechelewa
Jumapili, 1 Mei 2016
Home »
Diamond Platnumz
» Diamond Azipangua Shutuma za Kutoka na Mrembo Lyyn..Adai Wanajaribu Lakini Zari
Diamond Azipangua Shutuma za Kutoka na Mrembo Lyyn..Adai Wanajaribu Lakini Zari
Related Posts:
Diamond Azipangua Shutuma za Kutoka na Mrembo Lyyn..Adai Wanajaribu Lakini ZariDiamond Ameamua Kuwakata watu vidomo wanaosema kuwa yeye na Zari kwa sasa hakuna mawasiliano mazuri kisa mrembo aliyecheza kwenye video mpya ya Rayvan...kwa kumpost Zari kwenye page yake ya Instagram...Tetesi za Diamond kutok… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni