Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemuagiza Kamishna wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernesti Mangu kumpandisha cheo mara moja askari wa Usalama Barabarani ambaye alitukanwa na Mke wa Waziri wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi.
Rais ameyasema hayo wakati akifungua Kikao cha Makamanda wa Polisi wa Mikoa na kusema tayari amekwishamuonya Waziri huyo ambaye mke wake alimtusi Askari wa Usalama Barabarani.
Wakati akitoa agizo hilo, Rais Magufuli amesema hakuna kiongozi au familia ya kiongozi iliyo juu ya sheria.
Chanzo: TBC1
Jumapili, 1 Mei 2016
Home »
» JPM AAGIZA ASKARI ALIYETUKANWA NA MKE WA WAZIRI APANDISHWE CHEO
JPM AAGIZA ASKARI ALIYETUKANWA NA MKE WA WAZIRI APANDISHWE CHEO
Related Posts:
New AUDIO | TMB FT GENTRIEZ - NIPO MBALI NA HOME | Download … Read More
New AUDIO | SNAIDA - MUHTASARI WA HABARI | Download ARTIST-SNAIDA. SONG-MUHTASARI WA HABARI. STUDIO-BANTU MUSIC. PRODUCED BY LUSUNGU https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYh_iqvVbGTqdX8O2R6FpqP8Jot3LTk6a5V2ValJu2sODDSoid6ivcGTcb5_JN64qKkLvdij2JD721xHB… Read More
Sikiliza hapa ugomzi uliotokea dakika 5 kabla ya Show ya XXL Clouds Fm kumalizika Julai 02 Kilichosababisha haya yote ni mabishano ya mauzo ya album ya Fiesta ambayo kila mmoja alikua anataka aiandae alafu aiuze yeye….. ilitokea B12 alisema ni wazo lake lakini kumbe Fetty na Adam nao wanasema waliwahi kuwa na waz… Read More
Kinachoendekea kuhusu kesi ya Pistorius, Inadaiwa yupo katika hatari ya “kujiua”. Ripoti ya daktari wa magonjwa ya akili iliyowasilishwa katika kesi dhidi ya Mwanariadha wa Afrika kusini, Oscar Pistorius, inaashiria kuwa anaugua msongo wa kimawazo na yumo katika hatari ya kujitoa uhai.Ripoti hiyo iliyowa… Read More
New AUDIO | Matalent ft Rich mavoko - yananichanganya | Download … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni