Tukio limetokea Guest House Kimara Dar es salaam usiku wa May 1 2016 ambapo Mwanaume mmoja aliyeingia kwenye nyumba hiyo ya Wageni akiwa na Mwanamke, alikimbia kwa kusingizia kwenda dukani kununua vocha wakati Mwanamke huyo akikaribia kukata roho na hakurudi tena.
Wakati tunasubiri uchunguzi wa Polisi, mashuhuda kwenye eneo la tukio wamesema inavyoonekana Mwanamke huyo atakua kawekewa sumu kwenye chips alizokua anakula ndani ya chumba cha nyumba hiyo ya Wageni chips ambazo inadaiwa walitokanazo kwenye safari yao na kuja nazo Guest House.
Jumapili, 1 Mei 2016
Home »
» Wanawake Muwe Makini… Huyu Amefariki Guest House kwa Kulishwa Sumu, Mwanaume Kakimbia
Wanawake Muwe Makini… Huyu Amefariki Guest House kwa Kulishwa Sumu, Mwanaume Kakimbia
Related Posts:
Mwanamke Aelezea Jinsi Askari Walivyombaka Msumbiji Wakati Serikali ikiahidi kufanya uchunguzi wa vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu katika kutimua Watanzania nchini Msumbiji, mwanamke mmoja amesema alibakwa na askari watatu kabla ya kuwekwa mahabausu ambako ali… Read More
Makubwa Haya..Ray C Afunguka Kumpenda Rayvanny,Adai Anatamani...!!! Msanii mkongwe wa Bongo Fleva mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Ray C amedai kuwa anamkubali zaidi Rayvanny kutoka lebo ya WCB. Ray C amesema kuwa amesikia msanii huyo amewaandikia wasanii wengi nyimbo hivyo n… Read More
Baada ya Sekeseke la Madawa ya Kulevya Kutulia,TID Aamua Kumtaja Tena Diamond..!!! Kwa sasa msanii TID Mnyama anahakikisha anarudisha makali yake ya zamani kwenye muziki. Muimbaji huyo amewaahidi mashabiki wake kufanya kazi na Diamond hivi karibuni. Akiongea kwenye kipindi cha XXL, kupitia Clouds … Read More
Ukweli Mchungu Kuhusu Anayejiita Mdogo wa Gwajima...!!!! Amejitokeza mtu mmoja na kufanya press conference kwa jina anajulikana kama Methusela Gwajima , huyu Bwana ni Mwanasheria na ameajiriwa kwenye law firm ya Francis Stolla ambaye anagombea Urais wa TLS . Huyu Mwanashe… Read More
Hivi Ndivyo Uzuri wa House Girl Ulivyomponza Mke wa MTU Mpaka Akaambukizwa Ukimwi Inasikitisha sana. Fuatilia mkasa huu mwanzo mwisho.... Mke alimhisi mmewe kuwa anatembea na housegirl wao kutokana na ukweli kuwa, housegirl alikuwa mzuri mno kimuonekano, kiumbo na kwa sura. Alifikiri kumfukuza ila m… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni