Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogo madogo yanaweza kujitokeza kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa kiafya karibu twende sawa katika darasa la leo Mwalimu ndio nshakuandalia vitu vitamu jisomee ili ufaulu somo Mapenzi.
Zifautazo ni athari hasi za kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu;
1.Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo Mara kwa mara huwa anakasirishwa na vitu vidogo hata visivyokuwa na maana yeye huvitilia maanani .
2.Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mwanamke), Tafiti zinaonesha kuwa mwanamke anapokuwa kwenye mzunguko wake wa siku 28 kama hatoshiriki tendo la ndoa kwa kipindi kirefu basi hupoteza damu nyingi wakati wa hedhi.
3.Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu) hii pia ni tabia inayoibuka kisaikolojia kutokana na kile watoto wa mtaani wanachoita mizuka inampanda kwa yasiyo muhusu.
4.Kuumwa na kichwa, Wataalamu wametaja maumivu ya kichwa mara kwa mara wakati mwingine husababishwa na kutofanya mapenzi kwa muda mrefu.
5.Kukakamaa mgongo (wanaume), Inasemekana kuwa mwanaume akikaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu husumbuliwa na maumivu ya mgongo ya mara kwa mara.
6.Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, Hii imeelezwa ni kutokana na ndoto zile utakazoota kifikra kwamba unafanya tendo la ndoa ndio hupelekea kumkaribisha jini mahaba katika mwili wako.
7.Kupoteza umakini katika kazi, Wataalamu wa mambo wanasema kwamba pindi unapokaa muda mrefu bila kushiriki tendo la ndoa unapoteza uwezo wa kufanya kazi kwa umakini unaotakiwa.
8.Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, Inasemekana utakuwa umekamia mechi hivyo utauanza mchezo bila maandalizi yanayotakiwa hivyo msuguano utakuwa mkali na kuleta madhara.
Jumapili, 1 Mei 2016
Home »
» HASARA ZA KUTOFANYA MAPENZI KWA MUDA MREFU
HASARA ZA KUTOFANYA MAPENZI KWA MUDA MREFU
Related Posts:
Na hii ni nyingine tena! Wasanii walioandamana nusu uchi Nairobi Kenya. Siku hizi ishu ya kuvua nguo kuonyesha msisitizo au kulipigia kelele jambo flani imekua kawaida, yani wengi wameitumia hii njia kufikisha malalamiko yao na mfano mzuri ni hivi karibuni kwa Wanafunzi wa kike kwenye … Read More
VIONGOZI WATUMIA MADARAKA YAO KUJINUFAISHA Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (katikati) akifungua semina ya majadiliano kati ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na wanahabari waliojadili rasimu ya Sheria Mpya ya Kudhibiti Mgongano wa … Read More
RATIBA LIGI KUU BARA 2014/2015 HII HAPA Kocha … Read More
HATIMA YA TORRES CHELSEA;HIKI NDICHO ALICHOKISEMA Fernando Torres amemaliza kipindi kigumu kabisa cha miaka mitatu na nusu kwenye maisha yake ndani ya klabu ya Chelsea baada ya kukubali kuondoka katika timu hiyo. Fernando alijiunga na Chelsea mnamo mwaka 2011 January kw… Read More
Israel na Hamas waendelea na mapigano Mgogoro kati ya Israel na Palestina unaendelea. Pande zote mbili zimekuwa zikishambuliana kwa maroketi. Wakati huo huo, Misri inataka mazungumzo ya kuleta amani yaanze tena. Hali ya wasiwasi imerejea t… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni