Share
Tweet
Share
Share
comments
October 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea .. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook @nicksonluvega , twitter @nicksonmoses...
Jumatano, 26 Oktoba 2016
Rais Magufuli Aongoza Kura Kuwania Tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’

Rais John Magufuli anaongoza kura za kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa
Person of The Year’, ambayo hutolewa kwa watu walioonyesha mchango kwa
jamii.
Huku zikiwa zimebaki siku 21 kwa mshindi wa tuzo hiyo kutangazwa, Rais
Magufuli anachuana na Rais wa Mauritius, Ameenah Gulib; Mwendesha
Mashtaka wa Afrika Kusini, Thuli Madonsela; Mwanzilishi wa...
UKOCHA: Pluijm Amwaga Mboga Yanga

Usemi wa Waswahili kuwa, ukimwaga ugali, nami namwaga mboga umetimia kwa
klabu ya soka ya Yanga ambayo licha ya uongozi wake jana kukanusha
kuajiriwa kwa kocha Mzambia George Lwandamina na kuachana na Mdachi Hans
van der Pluijm, mzungu huyo ametangaza kujiuzulu kazi hiyo.
Mapema jana, katibu mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit alisema uongozi...
Diamond Platnumz Awatupia Madongo Walio Kuwa Wanasema Hajanunua Nyumba South Afrika...Adai Uswahili wake Unamlipa

Diamond Jana amefika kwa mara ya kwanza kwenye nyumba ambayo alinunua South Afrika na Kuandika Yafuatayo....
"Asa kunya nakunya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu....? Wambie
wasininunie mie, wakazane....halaf hii clip naomba wanangu mnisaidie
kuwatag wote waliokuwa busy kupost na kuzungumza Kuwa nyumba hii si
yangu....waambie hizi ndio kwanza rasharasha...
Jamaa Yake Amemwekea Tego, Msichana Yupo Tayari Kunipa Papucha ila Anaogopa Tutanasiana au Ntapata Tatizo

Nimempata dada mmoja mitaa fulani, ni mzuri sana na she is sexy.
Kiukweli tumependana nami nilivyomuona tu siku ya kwanza pale ofisini
nilimpenda nikaomba tuwe na ukaribu. Tukaanza ukaribu basi juzi juzi
hapa nikamwambia mi natamani mambo flani. Yule dada alinikubalia lakini
akasema shida kubwa ni kuwa jamaa yake mshirikina alimwekea dawa hivyo
tukikutana...
Rais Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’, ingia hapa kumpigia kura

Rais Dkt John Pombe Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year.’
Anachuana na watu wengine wanne wakiwemo: Rais wa Mauritania, Ameenah
Gulib, Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel Le Roux na Thuli Madonsela
wa Afrika Kusini pamoja na watu wa Rwanda.
Zimebaki siku 22 za kupiga kura. Unaweza kumpigia kura Rais Magufuli kwa
kubonyeza hapa....
Edward Lowassa Anena Mwaka Mmoja wa Rais Magufuli

Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa amechambua
mwaka mmoja wa uongozi wa Rais John Magufuli tangu aingie madarakani
akisema kuna mafanikio machache katika baadhi ya maeneo, lakini maisha
ya wananchi yamezidi kuwa magumu.
Lowassa ambaye katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015 aliungwa mkono na
vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa...
Jumanne, 25 Oktoba 2016
Mastaa wa Kike Kutoka Familia za Mboga Saba Bongo

NAIJUA familia ya mboga saba? Wengine wanapenda kuwaita watoto wa kishua
ama familia bora. Hii ikiwawakilisha watoto wanaozaliwa kwenye familia
yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi, kiasi cha kutumia mlo mmoja ukiwa na
mboga tofauti na zinazobadilishwa kila uchao. Ndio, kuna familia
nyingine bhana mlo unakuwa na mboga moja na huwa ni hiyo hiyo deile
mpaka inachosha.
wee
Ingawa...
Kutana na Mwanamke Mnene Kuliko Wote Duniani… Ana Uzito wa Kilo 500

Kwa mujibu wa jarida la Daily Mail, inaelezwa kuwa mwanamke huyo aitwaye
Iman Ahmad Abdulati mwenye miaka 36 hajawahi kutoka ndani kwa miaka 25
na amekua akiongezeka uzito wake kwa haraka mpaka kufikia kilo 500
zinazompa shida ya kujifanyia usafi na hata kula. Ripoti ya madaktari
inaonesha kuwa mwanamke huyu anasumbuliwa na maambukizi ya bakteria
wanaoshambulia...
Baada ya Ali Kiba Kusemwa Kuwa Anaishi Kwa Mama yake Kariakoo...Aamua Kuonyesha Nyumba yake

Baada ya kusemwa sana kuwa hana nyumba na anaishi kwa mama yake kko,
hatimaye Ali Kiba. king kiba, King wa bongo flavour kaamua leo kuachia
picha za mjengo wke uliopo Tabata thamani ya jiko la ndani ni milioni 19
soon nitawapa updates gharama za nyumba hii ambayo ni ghorofa na
naamini ni kwake maana namuonaga hapo
Pongezi kwa king kiba yooooh ...
Nimekuta Chupi ya Mke Wangu Chumbani Kwa Mdogo Wangu wa Kiume

Jamani Leo ni Siku ya saba tangia nikute chupi ya mke wangu chumbani kwa
mdogo wangu wa kiume,nimekaa nalo moyoni naona niwashikirikishe
wenzangu nione mnishauri nini
Ni hivi Ninaishi na mke wangu,mwaka wa NNE sasa,tuna mtoto mmoja,nina
Mdogo wangu,anaishi hapa tangia January niliponunua bajaj ili awe
anaendesha ili kusaidia wazazi wetu nyumbani kijijini,sasa...
Thomas Ulimwengu Aondoka TP Mazembe, Afuata Ndoto zake Kucheza Ulaya

Baada ya kucheza misimu mitano kwenye klabu ya TP Mazembe, mchezaji wa
Taifa Stars, Thomas Ulimwengu ameondoka kufuata ndoto zake kucheza
Ulaya.
Mchezaji huyo aliyekuwa akivaa jezi namba 28 na aliyepewa jina la utani
‘Rambo’ alichukuliwa na klabu hiyo akiwa na umri 18 kutoka AFC Academy
ya Stockholm, Sweden. Akiwa na TP Mazembe, Ulimwengu amecheza mechi...
Vyakula Vinavyoongeza Hamu na Nguvu ya Kufanya Tendo la Ndoa

Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa
wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu
ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na
tatizo hili. Aidha wanaume 6 kati ya 10 wanatajwa kulalamikia upungufu
wa nguvu za kiume.
Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu...
Huyu Hapa Mpenzi Mpya wa Idriss Sultan....Wagandana Kama Ruba Huko MTV Awards

Inasemekana eti Idriss na Mrembo ajulikanaye kama Sanchoka kwa sasa ni
wapenzi baada ya kuonekana pamoja huko Afrika Kusini walipoenda kwa
ajili ya MTV awards...
Picha na Video mbali mbali wakiwa pamoja zainazagaa huku instagram
...