Mwili wa Sista baada ya kupigwa risasi.
Kidole cha dereva kilichokatwa kwa risasi.
Ganda la risasi likiwa eneo hilo la tukio.
.Dereva akiwasiliana na jamaa zake baada ya kupigwa risasi na sista aliyekuwa naye kuuawa.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
SISTA wa Parokia ya Makoka iliyopo Kibangu, Dar ameuawa na majambazi yaliyokuwa kwenye bodoboda wakati akiingia kwenye gari akitokea dukani eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam hivi punde.
Kabla ya kuuawa sista huyo, dereva wake alipigwa risasi mkononi na majambazi hayo.
Chanzo GPL
Jumanne, 1 Julai 2014
Home »
» PICHA ZA TUKIO LA UJAMBAZI UBUNGO, YAUA SISTA WA PAROKIA YA KIBANGU.
PICHA ZA TUKIO LA UJAMBAZI UBUNGO, YAUA SISTA WA PAROKIA YA KIBANGU.
Related Posts:
Rihanna:NINA HAMU YA KUFANYA MAPENZI LAKINI.......(PICHA) Rihanna anasema yeye ni kama wanawake wengine kiasi cha kuwa na hamu ya kufanya mapenzi na kwamba hajavunja amri ya sita kwa muda mrefu sasa. rihanna-cover Akiongea kwenye jarida la Vanity Fair, Rihanna alisema hawezi tu… Read More
KILA KITU AANIKA:HATIMAYE AGNESS MASOGANGE AFUNGUKIA PENZI LA DAVIDO VIDEO Queen mwenye umbo tata Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ alifungukia penzi lake na staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido. Akizungumza na Amani Masogange alisema kuwa kuna uvumi unaovumishwa na baadhi ya watu kwamba a… Read More
MGOMBEA WA URAISI CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AMFAGILIA DAIMOND PLATNUMZ MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli amemmwagia sifa lukuki, mkali wao ndani ya muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kutokana na ushindi wa tuzo tatu za Afrimma zilizofanyika wikiendi iliyop… Read More
ZARI NA DAIMOND ETI BASI TENA..BIASHARA KWISHNEY BIASHARA imekwisha! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia ‘kapo’ ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kudaiwa kuwa waliweka misingi ya penzi zito ili Diamond apate mt… Read More
RAISI KIKWETE AWAONYA WANAOPANGA KULINDA KURA VITUONI Rais Jakaya Kikwete amesema watu wanaopanga kubaki katika vituo vya kupigia kura baada ya kumaliza zoezi hilo kwa lengo la kulinda kura kunaashiria uvunjaji amani, hivyo serikali imejipanga kupambana na hali hiyo siku ya… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni