KUITAZAMA BONYEZA PLAY.
Jumanne, 1 Julai 2014
Home »
» UMEICHEKI VIDEO YA KALA JEREMIAH ALIYOMSHIRIKISHA MO MUSIC IKO HAPA
UMEICHEKI VIDEO YA KALA JEREMIAH ALIYOMSHIRIKISHA MO MUSIC IKO HAPA
Inawezekana ikawa ndiyo wimbo wa kwanza kushirikishwa na msanii kubwa baada ya kuchomoza na single yake ya Basi Nenda huyu ni Mo Music ambapo Tanzania imemtambua kwa singo yake ya Basi Nenda ambayo kupitia Clouds Fm Top 20 ni wiki ya 3 sasa imeshika nafasi ya kwanza.
Kala Jeremiah kamshirikisha kwenye single yake mpya iitwayo Simu ya Mwisho yeye pamoja na Nay wa Mitego,ambapo kupitia Exclusive Interview na Young luvega.com amesema saa chache baada ya kutoka kwa video hii baadhi ya waongozaji[director] wamemuomba kuitengenezea movie.
KUITAZAMA BONYEZA PLAY.
KUITAZAMA BONYEZA PLAY.
Related Posts:
Majibu ya Kamanda Mambosasa Kuhusu Kutofautiana Kauli na RPC IringaMtandao kumekuwa na Gumzo kuhusu kauli ya Kamanda Mambosasa na RPC wa Iringa kutofautina kuhusu kupatiikana kwa Abdul Nondo Mwanafunzi aliyedaiwa Kutekwa, Kamanda Mambosasa alisema Abdul Nondo alikutwa akiendelea na Shughu… Read More
Mnunuzi Feki wa Nyumba za Lugumi Kupimwa Akili Bilionea Dkt. Luis Shika ambaye wiki iliyopita alitangaza kununua nyumba za kifahari za mfanyabiashara za Said Lugumi, zilizopo eneo la Bweni JKT jijini Dar es salaam anatarajiwa kupelekwa hospitali kupimwa afya ya akili.Hay… Read More
Dogo Janja Amekuwa James delicious ?- Young Tusso &nb… Read More
Dk Cheni Awapa Makavu Wanaomsakama Lulu Kuhusu Dhamana MSANII mkongwe katika tasnia ya maigizo Bongo na mshereheshaji (MC), Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ ambaye ni mlezi wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa maoni yake kwenye mtandao wa kijamii baada ya kuibuka maneno mengi … Read More
Diva: Kama Huna Milioni 500 Huwezi Kunioa &nb… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni