Karrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo za BET 2014 ambazo Mtanzania Diamond Platnumz alichaguliwa kushiriki kama msanii kutoka Afrika na tuzo hiyo kuchukuliwa na Davido wa Nigeria.
Katika watu ambao Karrueche aliwahoji ni Diamond Platnumz ambae alielezea ni jinsi gani amefurahi kuwepo kwenye kuwania tuzo ya BET 2014, alimtaja msanii ambae angependa kumuona kwenye stage ndani ya usiku huu pamoja na mengine tazama kwenye hii video fupi hapa chini.
Nuh Mziwanda Afunguka Kuhusu Kurudiana na ShiloleMsanii Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Alikiba amefunguka na kusema kuwa hata kama ikitokea mpenzi wake huyo wa zamani akitaka kurudiana na yeye ni kitu kisichowezekana kwa sa…Read More
Mfanyabiashara Dangote Atajwa Kutumbuliwa kwa Juliet Kairuki TICWakati aliyekuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), ametajwa kutenguliwa uteuzi wake kwa kukataa kuchukua mshahara wa Serikali kwa miaka mitatu mfululizo, uchunguzi umebaini kuwa jipu la kusamehe kodi Kampuni y…Read More
0 comments:
Chapisha Maoni