Hii ilikua siku nyingine muhimu kwa Tanzania na Africa kwa ujumla ambapo yalikua yanasubiriwa matokeo ya tuzo ya BET sanasana kipengele wanachowania tuzo wasanii wa Afrika akiwemo Diamond Platnumz.
Davido kutoka Nigeria ndio amethibitisha kuwa mshindi wa tuzo hii ambapo kupitia page yake ya Instagram amewashukuru mashabiki na kuelezea furaha yake.
Tuzo hii ilikua inawaniwa na Diamond Platnumz kutoka Tanzania, Mafikizolo wa South Africa, Sarkodie wa Ghana, Tiwa Savage wa Nigeria na Toofan wa Togo.
Pamoja na kwamba Diamond hajawa mshindi wa tuzo hii, Watanzania wengi wamekua upande wake toka alipochaguliwa kuwania tuzo hizi na kumwambia hata kama hatoshinda, kuchaguliwa tu kushiriki BET ni zawadi ya kipekee na hatua kubwa kimuziki.
Namkariri Rais Jakaya Kikwete pia aliesema ‘Hata kama asiposhinda Diamond, yenyewe kuchaguliwa kwenye tuzo za BET ni hatua kubwa kimuziki’
Jumanne, 1 Julai 2014
Home »
» Mshindi wa tuzo ya BET iliyokuwa inawaniwa na Diamond Platnumz pia.
Mshindi wa tuzo ya BET iliyokuwa inawaniwa na Diamond Platnumz pia.
Related Posts:
Kinachoendekea kuhusu kesi ya Pistorius, Inadaiwa yupo katika hatari ya “kujiua”.
Ripoti ya daktari wa magonjwa ya akili iliyowasilishwa katika kesi dhidi ya Mwanariadha wa Afrika kusini, Oscar Pistorius, inaashiria kuwa anaugua msongo wa kimawazo na yumo katika hatari ya kujitoa uhai.Ripoti hiyo iliyowa… Read More
Taarifa kuhusu ndege iliyodondoka alfajiri ya July 02 Kenya.
Imeripotiwa kuwa wanne waliokua kwenye Ndege iliyokua ikitokea uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Nairobi, Kenya kuelekea Mogadishu, Somalia wamepoteza maisha baada ya Ndege hiyo kuanguka katika eneo la Utawala dakika chache … Read More
Full time ya USA vs Belgium – walichofanya Lukaku na De Bruyne
Mechi za hatua ya 16 zimemalizika rasmi usiku wa kuamkia leo kwa mchezo kati ya Marekani dhidi ya Belgium.Katika mchezo huo uliokuwa mgumu kwa pande zote, mpaka dakika zote 90 zinamalizika hakukuwa na mtu aliyefanikiwa kuli… Read More
Zawadi kutoka kwa Barakah Da Prince – Sio Fine
Kutoka Mwanza anaitwa Barakah Da Prince Mwanzoni ulimsikia na wimbo wa Jichunge ambao video yake ilifanywa na Director Nisher kutoka Arusha,leo July 02 ameamua kuachia wimbo wake ambao kasema ni zawadi maalum kwa mashabiki … Read More
Magazeti ya leo July 02 2014
… Read More






0 comments:
Chapisha Maoni