Kama bado haujaona picha na video za behind the scene wakati Shaa anarekodi video ya wimbo huu basi utaziona hapa. Wimbo unaitwa Subira ukiwa ni wa pili tangu aanza kufanya kazi na Mkubwa na wanae baada ya kutoa Sugua gaga. Kuanzia tarehe 29/6 zitakuwa zimebaki siku 5 hadi Shaa atoe wimbo huo mpya.
Zaidi ya wimbo amesha rekodi video ya wimbo huo. Ukitaka kuona picha za behind the scene walivyokuwa wanarekodi bonyeza HAPA
Jumanne, 1 Julai 2014
Home »
» Hizi ndizo siku zilizobaki hadi wimbo mpya wa @Shaa_tz utoke.
Hizi ndizo siku zilizobaki hadi wimbo mpya wa @Shaa_tz utoke.
Related Posts:
NEW AUDIO MO MUSIC BASI NENDA… Read More
Hiki ndicho kitu kikubwa atakachofanya Diamond siku ya birthday ya mama yake. Mama yake Diamond amezaliwa tarehe 7/7 na siku hiyo Diamond amepanga kufanya kitu kikubwa akiwa anasherekea. Mwaka huu anafanya kitu ambacho hadi mashabiki zake watafurahia siku hiyo na hii ni nafasi yako kukijua. … Read More
Hii ndio idadi ya waliokufa baada ya mji wa Lamu Kenya kukumbwa na mashambulizi ya risasi. Wizara ya mambo ya ndani Kenya imesema kuwa zaidi ya watu 29 wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti katika makazi ya Pwani ya nchi hiyo karibu na mpaka wa Somalia. Watu 20 waliuawa katika eneo la Gamba kaunti ya Ta… Read More
Degree ya heshima ya udaktari aliyopewa mwanamuziki Oliver Mtukudzi. Mwanamziki mkongwe wa kimataifa nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi ametunukiwa tuzo ya tatu iliyobeba heshima ya udaktari kutokana na kuwa mshauri na balozi mzuri wa muziki. Mwaka 2003 alitunukiwa tuzo kubwa ya heshima na c… Read More
NEW AUDIO DIAMOND-KITORONDO… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni