Wapenzi wa muda mrefu Richard Laslett na Collin Gunther ambao wamedumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka 37 wamepata nafasi ya kuwa moja kati ya wapenzi wa jinsia moja 115 waliofungishwa ndoa kwa wakati mmoja mjini Toronto, Canada.
Ndoa hizo zimefungwa kwa pamoja na kuwakutanisha wapenzi wa jinsia moja kutoka maeneo mbalimbali duniani kusherekea nguvu ya mapenzi yao.
Meya wa Toronto Norm Kelly amesema wanandoa hao wamekutana na kufurahia hatua hiyo muhimu ya kufunga pingu za maisha.
Takribani nchi 15 duniani sasa zimeruhusu mapenzi ya jinsia moja .
Unaweza kuangalia video hapo chini kuona jinsi tukio hilo lilivyokuwa.
WAATHIRIWA WA MABOMU MBAGALA WALALAMIKA
Nyumba iliyoharibiwa na bomu kama inavyoonekana.
Mkutano kati ya waandishi habari na Waathirika
wa Mabomu Mbagala, ambao umefanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi
Mbagala Kuu ,jijini Dar-Es-Salaam mapema leo .
Waathi…Read More
WANACHAMA 100 WA BOKO HARAM WAUAWA
jeshi la Nigeria
Jeshi la Nigeria linasema kuwa limewaua zaidi
ya wanamgambo 100 wa kundi la Boko Haram kufuatia shambulizi la
wapiganaji hao siku ya ijumaa kazkazini mashariki mwa jimbo la Borno.
Vikosi
vya ser…Read More
Shearer asema Welbeck atang'ara Arsenal
Mshambuliaji wa Arsenal Danny Wellbeck kushoto
Mshambuliaji mpya wa kilabu ya Arsenal Danny
Welbeck anaweza kufunga mabao 25 kwa msimu mmoja ,hayo ni matamshi ya
aliyekuwa …Read More
UGANDA YAHARIBU SHAMBULIZI LA KIGAIDI
Vikosi vya usalama nchini Uganda
Maafisa wa polisi nchini Uganda wameimarisha
usalama katika maeneo mengi ya uma katika mji mkuu wa Kampala kufuatia
kukamatwa kwa washukiwa kadhaa wa makundi ya kigaidi na vil…Read More
MFUNGWA AKUTWA NA SIMU MWILINI
Tatizo la kuingiza bidhaa kimagendo ndani ya magereza ya Kenya imekuwa kero kubwa kwa maafisa wa magereza.
Kwa baadhi ya watu simu ya mkononi ni kifaa tu
cha mawasIliano ilihali kwa wengine ni kifa ambacho kinaweza …Read More
0 comments:
Chapisha Maoni