Katikati ya June 2014 Linah alizungumza na Young luvega.com akiwa South Africa na kuthibitisha kwamba kilichompeleka huko
na kumfanya akae kwa zaidi ya siku 20 ni kazi ya muziki.
Miongoni mwa alivyokua anavifata ni kufanya kolabo na Oskido staa wa muziki wa Afrika kusini ambae ndio anawasimamia Mafikizolo ambao pia wanarekodi kwenye studio yake
Baada ya kutua Dar es salaam akitokea Johannesburg, Linah ameithibitishia Young luvega .com kwamba tayari amefanya kolabo na kundi la Uhuru ambao walishirikishwa kwenye wimbo wa ‘khona’ na Mafikizolo.
Kwenye studio ya Oskido, palepale wanaporekodi mastaa wengine kama Mafikizolo wenyewe na Davido pia alierekodia hapo kolabo na Mafikizolo, Linah ndio amerekodi hiyo kolabo na kundi la Uhuru.
Wimbo wake umefanywa na producer kutoka pia kwenye kundi hilohilo la UHURU ambae ndio amehusika vilevile kwenye kolabo ya Mafikizolo na Diamond Platnumz.
Kolabo alizorekodi South Africa ni mbili ikiwemo moja aliyoshirikishwa na Dj Malvado ambae yupo kwenye ile hit ya ‘Atchu tchutcha’ ambapo pia Linah amethibitisha kwamba kwa kipindi chote cha zaidi ya siku 20 Afrika kusini, amerekodi video na God father Director ambae amefanya video nyingi kubwa za Afrika zikiwemo za P Square, Davido, Diamond na wengine.
Jumanne, 1 Julai 2014
Home »
» Linah amerudi Dar! ameongea kuhusu kolabo na Uhuru na Dj Malvado South Africa
Linah amerudi Dar! ameongea kuhusu kolabo na Uhuru na Dj Malvado South Africa
Related Posts:
Issue ya Masogange Kushikiliwa na Polisi ka Kuhusika na Madawa ya Kulevya, Uwoya Amlipua Wema...!!
Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya,
limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange
ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu
baa… Read More
Uwoya ni Gusa Unate..!!!!
Msanii maarufu wa filamu Bongo, Irene Uwoya (pichani) anatajwa kuwa
kati ya mastaa wa kike Bongo aliyewahi kutoka na mastaa na vigogo
mbalimbali huku ikidaiwa kuwa, kila aliyekuwa naye alimuacha yeye na si
kua… Read More
Baada ya Kumuita Nyani, Iyobo Amvaa Tena Harmorapa...!!!!
KIONGOZI wa madansa ambaye ni dansa tegemezi wa Wasafi Classic Baby
(WCB) Mose Iyobo amefunguka kuwa yeye hana imani na Harmorapa na
anashangaa anavyotajwa kila mahali kwani yeye hajawahi kusikia kazi yake
yoyote hi… Read More
MSUMBIJI: Mwanamke wa Kitanzania Abakwa Mpaka Kufa. Serikali Imefungwa Pasta?
Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la
watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu
inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali
kabis… Read More
Taarifa ya Kikao cha Kamati Ndogo ya Kamati Kuu cha Dharura cha CHADEMA...!!!
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI NDOGO YA KAMATI KUU
1.0 UTANGULIZI
Kikao cha Kamati Ndogo ya Kamati Kuu cha dharura kilichoketi ta… Read More






0 comments:
Chapisha Maoni