
Ili mapenzi yaweze kuwa bora kwa kila aliye katika mahusiano, huwa ni
vyema kila mmoja kuiona thamani ya mwenzake. Ukipenda kujiangalia
mwenyewe si ajabu mwenzako kupata hisia za kuwa humthamini wala
humjali.
Muunganiko wenu katika mapenzi maana yake tayari mmekuwa kitu kimoja. Katika mimi unaweka sisi.
Ila pia ni vyema ikakumbukwa ladha na maana halisi...