Mechi za hatua ya 16 zimemalizika rasmi usiku wa kuamkia leo kwa mchezo kati ya Marekani dhidi ya Belgium.
Katika mchezo huo uliokuwa mgumu kwa pande zote, mpaka dakika zote 90 zinamalizika hakukuwa na mtu aliyefanikiwa kuliona lango la mwenzie, japo kulikuwa na kosa kosa nyingi katika lango la Marekani na bila ushujaa wa kipa Tim Howard basi hadithi ingekuwa nyingine.
Baada kwa kumalizika kwa dakika 90, zikaongezwa dakika 30 za nyongeza na mnamo dakika ya 105, Kelvin De Bruyne akaifungia Belgium bao la kwanza, dakika 2 baadae Romelu Lukaku akapiga goli la pili, kabla ya Green kuifungia Marekani goli la kufutia machozi.
Jumatano, 2 Julai 2014
Home »
» Full time ya USA vs Belgium – walichofanya Lukaku na De Bruyne
Full time ya USA vs Belgium – walichofanya Lukaku na De Bruyne
Related Posts:
Mke wa Deo Filikunjombe Ampigia Kampeni Mdogo wa Filikunjombe Achukue Ubunge Jimbo Aliloliacha Mmewe..Adai Wengine Msiwasikilize Hawana Hata Mahali pa Kufikia Ludewa Tanzania bado iko kwenye majonzi baada ya msiba wa aliyekuwa mbunge wa Ludewa,Deo Najua kuna watu walikuwa na maswali juu ya atakayewaongoza wakazi wa Ludewa, sasa leo Novemba 5, 2015 mke wa marehemu Deo Filikunjombe ‘ S… Read More
Maalim Seif Aweka Ngumu Adai Hawawezi Kurudia Uchaguzi Zanzibar Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema CUF inaendelea kutafuta haki ya Wazanzibar ya kutaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec) kuendelea kutangaza matokeo ya uchaguzi … Read More
Luis Munana Afichua Siri ya Jinsi Alivyojikuta Akipendana na Wema Sepetu Wiki iliyopita picha za mtandaoni zilionesha kuwa Wema Sepetu na mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Namibia, Luis Munana wamefunga ndoa. Hakuna taarifa rasmi kutoka kwa wawili hao baada ya ‘ndoa’ hiyo kufungwa … Read More
Nchi Ina Wanafiki Sana wa Kisiasa...Ukawa Wamsusia Magufuli Uwanja wa Taifa ila Bungeni Wamejiandikisha Kwenda Kumsikiliza Kwasababu Kuna Posho-Habibu Mchange Mwanasiasa Habibu Mchange Ameandika yafutayo katika ukurasa wake wa Facebook kuhusu Ukawa: 'Nchi ina WANAFIKI SANA WA KISIASA HII.. Ukawa wamesusia kuapishwa Rais lakini UKAWA HAO HAO wameenda Bungeni kujian… Read More
Rais Kikwete Aachia Madara Kistaili...Awasamehe Wafungwa 4,160 Watoke Gerezani RAIS mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 4,160 katika kuaga na kukabidhi madaraka ya Serikali kwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Dk Magufuli aliapishwa jana kuwa Rai… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni