Mwanamke mmoja Alexis Stanton amelazimika kunyoa nywele zote kichwani baada ya nywele zake bandia kunasa kwenye gundi aina ya super glue.
Mwanamke huyo alilazimika kubaki na kipara na majeraha kidogo ambapo amesema alifanya hivyo baada ya kujikuta nywele zake alizokuwa amebandika kichwani kunasa kwenye gundi ambayo ilishindikana kutoka.
Mwanamke huyo kutoka Newcastle anasema kuwa bado anahisi maumivu kwenye kichwa chake na kwamba amelia sana tangu tukio hilo lilipotokea na bado yupo kwenye majonzi makubwa
Amesema polisi wanamsaka mtaalamu wa saluni aliyemtengeneza nywele zake mara ya mwisho ambaye aliamini anajua kazi yake lakini badala yake alimwekea super glue badala ya gundi inayotakiwa kugandishia nywele zake.
Jumatano, 2 Julai 2014
Home »
» Mwanamke aliyelazimika kunyoa kipara baada ya nywele zake bandia kunasa kwenye Super glue.
Mwanamke aliyelazimika kunyoa kipara baada ya nywele zake bandia kunasa kwenye Super glue.
Related Posts:
Diamond Platnumz na Mama yake Wakaa Kikao Kizito..Kisa ZariSupastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mama’ke mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra’ wamelazimika kukaa kikao kizito ili kupata muafaka wa mzazi mwenzake na staa huyo, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kurejea Bongo n… Read More
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Desemba 7, Ikiwemo ya Kukosekana Kwa Mawaziri Kwaokoa Mamilioni … Read More
[Audio] Kauli ya Januari Makamba kuhusu kumkejeli Rais Magufuli January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu. Hizi ndo Picha alizoweka amb… Read More
NICKSONLUV TECNOMILES waachia Ngoma yao inayofanya vizuri ulimwenguni play hapo chini kuona video &nbs… Read More
Ujerumani Yamsifu Rais Magufuli Kwa Kupambana na Ufisadi Kwa Vitendo.....Yaahidi Kumpa Ushirikiano Serikali ya Ujerumani imeeleza kufurahishwa na kasi ya kupambana na rushwa na ufisadi ya Rais John Magufuli na kuahidi kumpa ushirikiano katika masuala ya maendeleo. Ujerumani inakuwa nchi ya kwanza ya kigen… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni