Imeripotiwa kuwa wanne waliokua kwenye Ndege iliyokua ikitokea uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Nairobi, Kenya kuelekea Mogadishu, Somalia wamepoteza maisha baada ya Ndege hiyo kuanguka katika eneo la Utawala dakika chache baada ya kupaa,
Ajali hiyo imetokea alfajiri ya Julai 02 na inaaminika kwamba ndege hiyo ilikua iondoke mapema kusafirisha zao la Mirungi na bidhaa nyingine kuelekea Somalia.
Walinzi wawili wamejeruhiwa katika ajali hiyo ambapo mmoja amekwishapatiwa matibatibu na kuruhusiwa huku mmoja akiwa bado anaendelea na matibabu katika hospitali ya Mama Lucy.
Kwa mujibu wa Mkuu wa polisi Jijini Nairobi Benson kibue, ajali hiyo imetokea baada ya Ndege hiyo yenye nambari 5Y-CET kuanguka juu ya Paa la jengo la kibiasharawakati ikijaribu kutua ghafla na kushika moto papo hapo.
Polisi wanaendelea na uchunguzi kufuatia ajali hiyo ndani ya mabaki ya ndege.
Jumatano, 2 Julai 2014
Home »
» Taarifa kuhusu ndege iliyodondoka alfajiri ya July 02 Kenya.
Taarifa kuhusu ndege iliyodondoka alfajiri ya July 02 Kenya.
Related Posts:
Matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015 Yako Hapa Haya ndo Matokeo...Bonyeza Mkoa husika kuyaona ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA IRINGAKAGERAKIGOMA KILIMANJAROLINDIMARA MBEYAMOROGOROMTWARA MWANZAPWANIRUKWA RUVUMASHINYANGASINGIDA TABORATANGAM… Read More
CCM Washikana 'Uchawi' Baada ya Kulipoteza Jimbo La Bunda BAADHI ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Bunda wamemtuhumu mwenyekiti wa chama hicho wilayani hapa, Chacha Gimanwa, kwamba alichangia jimbo la Bunda Mjini kuchukuliwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na … Read More
Watu Sita Wapoteza Maisha Katika Ajali ya Gari Morogoro Watu sita wamefariki dunia baada ya gari ndogo waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria mali ya kampuni ya Princess Muro, lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Tunduma, katika eneo la hifadhi … Read More
Forget About Zari ! .....Lulu And Diamond In Love !.....His Family Wants Him To Marry Lulu ? Hot gossip is that, Lulu Elizabeth Michael and Diamond Platnumz are in love secretly and Diamond's family has no problem about it. This comes after reports broke Diamond and his baby mama Zari The Boss Lady are in bad t… Read More
BUTIKU: WAZANZIBAR MSIKUBALI KURUDIA UCHAGUZI Taasisi ya mwalimu Nyerere imeitaka tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC kufanya kazi kwa kuzingatia katiba ya nchi na sheria na sio kutanguliza mbele maslahi binafsi ya kisiasa hatua ambayo inaweza kusababisha machafuko na… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni