Mwanaume mmoja amebakwa katika barabara ya daraja lenye shughuli nyingi mjini Newcastle baada ya kukubali kupanda lifti ya mtu asiyemjua.
Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 24 aliingia kwenye gari hilo dogo mapema alfajiri ambapo alifanyiwa kitendo hicho cha ubakaji katika eneo lenye nyasi nyingi karibu na daraja la Redheugh, Newcastle.
Timu ya uchunguzi wa makosa ya ubakaji hivi sasa inaendesha msako wa mtu aliyetekeleza kitendo hicho na kuwataka mashuhuda kujitokeza hadharani.
Afisa upelelezi kutoka mji wa Newcastle, Caroline Ord, amesema hili ni tukio baya zaidi kutendewa kwa kijana huyo ambapo sasa polisi wanafanya kazi bega kwa bega na mtu huyo kuhakikisha wanampata aliyetenda kosa hilo.
Jumatano, 2 Julai 2014
Home »
» Mwanaume aliyebakwa baada ya kupanda lifti ya mtu asiyemjua.
Mwanaume aliyebakwa baada ya kupanda lifti ya mtu asiyemjua.
Related Posts:
Mimba ya Nisha Bebee Yazua Balaa..Adai Baba Kijacho Wake Hawezi Hata Kujinunulia Sabuni ya Kufulia Boxer Ujauzito wa Mwigizaji Nisha Bebee umezidi kuzua sinto fahamu kutokana na vichambo anavyopost mtandaoni kwenda kwa Muhusika wa Ujauzito huo..leo tena amepost akimtolea uvivu kama ifuatavyo: "Watu wanasema n… Read More
Je, Paul Makonda Anajua Mantiki ya Alichosema Kuhusu Waliotaka Kumuhonga Mil 50 Kisheria? Kwanza nianze kwa kusema kuna mambo mengi ninakubaliana na utendaji wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda lakini kuna mambo machache ambayo yananipa ukakasi unaonifanya nitimize wajibu wangu kama raia … Read More
Mama Diamond Afunguka Kuhusu Nyumba ya Madale..Adai ni yake Kama ni Kuhama Ahame Diamond na Zari Nasemaje bim'danga Mama Chibu Ndo kishasema Mjengo wa Madale anaumiliki yeye, na wale waliokua wakimsimanga kuwa awapishe Kina chibu Na Zari kwenye Mjengo washindweeee, bi Maza anasema wataondoka wao Na wajukuu… Read More
Haya Hapa Matokeo ya Forbes Person of the Year Aliyokuwa Anawania Rais Magufuli Aliyekuwa Mwendesha Mashtaka wa Serikali na Wakili nchini Afrika Kusini Thuli Madonsela leo ametangazwa kuwa ndiye mshindi wa Tuzo ya Mtu Mashuhuri Afrika ya Forbes (Person of the Year #POY2016). Tuzo huy… Read More
Mwanamke Afa Akiombewa Kwa ‘Nabii’, Akutwa Hana Nywele Kichwani Pamoja na Nyusi za Macho Mwanamke mkazi wa Unga-Limited jijini hapa, Lightness Kivuyo ameripotiwa kufa wakati akifanyiwa maombi nyumbani kwa mchungaji aliyejulikana kama ‘Nabii Rajabu’ eneo la Kwa-Mrombo pia jijini hapa. Kwa mujibu wa … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni