Kwa mfumo wa muziki wa Madee huu anauita muziki wa Kwata ambao ni muunganiko wa Kwaito na Takeu ndio unautengeneza Kwata,single ya 3 kutoka kwake baada ya Pombe Yangu,Tema mate tuwachape na hii Nisheeeda.
Bonyeza play kusikiliza.
Jumatano, 2 Julai 2014
Home »
» Single mpya ya Madee umeipata?inaitwa Ni sheedah isikilize hapa.
Single mpya ya Madee umeipata?inaitwa Ni sheedah isikilize hapa.
Related Posts:
Ni Diamond Platnumz tena kwenye Headlines time hii kamshirikisha Mr. Flavour Hii ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour wimbo unaitwa Nana,video imefanywa na GodFather mtu wangu. Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu&nb… Read More
REAL MADRID YAWASILIANA NA BENITEZRafael Benitez Mkufunzi wa kilabu ya Napoli Rafael Benitez ameorodheshwa miongoni mwa makocha wataokumrithi Carlo Ancelotti katika kilabu ya Real Madrid. Ancelotti anatarajiwa na wengi kuachana na kilabu hiyo baada ya mec… Read More
DAVID LUIZ:'NIMEWAHI KUSHIRIKI NGONO'David Luiz kushoto Mlinzi wa klabu ya Paris St-Germain David Luiz amevishtumu vyombo vya habari kwa kukosa heshima baada ya kukanusha madai kwamba yeye hajawahi kushiriki katika tendo la ngono. Ripoti hizo zilianz… Read More
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye #TuzozaWatu2015.. Pichaz na list yote ya washindi iko hapa Kilichosubiriwa kwa hamu na watu wengi ni tukio zima la Tuzo za Watu ambapo fainali yake ilikuwa jana MAY 22 2015.. Kutokana na utaratibu uliowekwa washiriki wote waliteuliwa na watu na baadae mchakato ukakamilika … Read More
IRELAND YAFANYA MAAMUZI KUHUSIANA NA NDOA ZA JINSIA MOJAwapiga kura wajitokeza kwa wingi nchini Ireland ili kuamua kuhusu kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja. Wapiga kura wengi wameripotiwa kujitokeza kwenye kura ya maoni nchini Ireland ya kuamua iwapo ndoa za watu w… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni