Wanandoa Beyonce na Jay Z wamekuwa wakipambana na uvumi kuwa sasa ndoa yao iko juu ya mawe kutokana na matatizo makubwa yanayoendelea tangu kusambaa kwa video ikimuonyesha dada wa Beyonce Solange akimshambulia Jay Z.
Na sasa Beyonce amezidi kupalilia moto zaidi kuhusiana na uvumi huo baada ya kubadilisha mistari kwenye wimbo wake kuhusu usaliti wakati akiwa jukwaani aki “perfom” kwenye ziara ya muziki na mume wake ya On The Run mjini Ohio.
Nyota huyo wa muziki wa R&B amesema kuwa Jay Z anaweza kuwa sio mwaminifu wakati akiimba wimbo wake uliotoka mwaka 2008, Resentment, ili kuendana na matukio yanayoendelea katika mahusiano yake na mumewe
Imekuwa ikivumishwa kuwa Jay Z yupo katika mahusiano ya nje ya ndoa na mwanamuziki Mya wakati wote si Jay wala Mya aliyejibu tuhuma hizo ambapo mashabiki wameendelea kuwafutilia kwa karibu hasa muziki wa Beyonce.
Jumatano, 2 Julai 2014
Home »
» Jinsi Beyonce alivyobadilisha mistari ya wimbo wake jukwaani kufuatia matatizo ya ndoa yake.
Jinsi Beyonce alivyobadilisha mistari ya wimbo wake jukwaani kufuatia matatizo ya ndoa yake.
Related Posts:
IMF: Uchumi wa Tanzania waongoza Afrika Mashariki Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi wake mwaka huu katika kanda ya Afrika Mashariki na kati. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la fedha la kimataifa - IMF. Katika ripoti yake iliyoto… Read More
JISNI YA KUMTAMBUA ASIYE NA MAPENZI YA KWELI Inawezekana upo katika uhusiano na tapeli wa mapenzi bila kujua, hiyo ni sumu na unachotakiwa kufanya sasa ni kuanza kumchunguza mpenzi wako mapema usije ukawa miongoni mwa walio katika foleni! Hakuna kitu kibaya kama kuwa k… Read More
Pichaz: Mabusu ya Gigy Money kwa Idris Zawatoa Povu Mashabiki wa Wema Sepetu Picha zinazomuonesha Gigy Money wakati akimpiga mabusu Idris Sultan wakiwa katika show ya Pool Party iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika hotel ya Regency Park jijini Dar es salaam, zinawatoa povu mashabiki wa Wema Sepetu. P… Read More
Majibu ya Snura baada ya Chura wake Kupigwa Nyundo na SerikaliBaada ya wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo kuufungia wimbo wa Snura, Chura jana, muimbaji huyo anaonesha kutoshtushwa na hatua hiyo hasa kutokana na support anaiyopata kutoka kwa mashabiki wake. Kwa ufupi haoneshi… Read More
P Diddy Aongoza Orodha ya Forbes ya Wana Hip Hop Watano Wenye Mkwanja zaidiForbes wametoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi, The Forbes Five. Diddy ameongoza orodha hiyo mwaka huu kwa kuwa na utajiri ufikao dola milioni 750. Nafasi ya pili imekamatwa na Dr Dre mwenye dola milioni 7… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni