Rais wa FIFA Sepp Blatter akimkabidhi rais wa Urusi Vladmir Putin Haki za kuandaa dimba la dunia la mwaka 2018
Madai zaidi yameibuka kuhusu
ufisadi uliofanyika wakati wa shughuli ya kuwatafuta waandalizi wa kombe
la dunia la mwaka 2018 na 2022.
Nafasi hizo zilichukuliwa na
Urusi pamoja na Qatar. Gazeti la Sunday Times nchini Uingereza limesema
kuwa rais...
Jumapili, 30 Novemba 2014
Man U na Arsenal zawika,Chelsea yazuiwa
Mchezaji wa chelsea Wiilian akikabiliana na mwenzake wa Sunderland
Mkufunzi Gus Poyet aliihangaisha
timu ya Chelsea na kuwajaribu viongozi hao wa Ligi kupitia mchezo mzuru
wa timu yake Sunderland.
Chelsea ilishindwa kuliona lango la Sunderland kupitia ngome mahsusi ya Sunderland iliowazuia washambuliaji...
ESCROW:Spika adaiwa kuwalinda washukiwa
Spika wa bunge la Tanzania Anne Makinda
Speaker wa Tanzania Anne Makinda ameshtumiwa kwa kujaribu kuwatetea wale wanaodaiwa kuhusika katika kashfa ya ufisadi ya Escrow.
Kulingana
na wachambuzi,wasomi na wataalam wa sheria hatua yake ya kujenga...
Walichokisema Wabunge Kafulila, Peter Msigwa, Aeshi Hilary na Maige kuhusu maamuzi ya Bunge jana
Kikao cha Bunge la Tanzania
kilichoahirishwa siku ya jana Novemba 29 ni moja ya vikao ambavyo
vilivuta hisia za watu wengi na kutengeneza historia nyingine mpya
kutokana na mjadala wa ishu ya Escrow, baada ya kikao hicho kuahirishwa
Wabunge Ezekiel Maige, Aeshi Hilary, David Kafulila na Mchungaji Peter Msigwa walizungumzia kuhusu maamuzi ya Bunge hilo.
“…Tumekuwa
...
Maneno 6 ya Davido baada ya ushindi wa Diamond Platnumz Channel O 2014.
Ushindi
wa tuzo tatu za Channel O 2014 alizochukua Mtanzania Diamond Platnumz
umekua mkubwa sio tu kwa Tanzania bali Afrika na kona zake ambapo
miongoni mwa walioandika baada ya Diamond kushinda ni Davido.
Msanii huyu wa Nigeria ambae alifanya remix ya number one ya Diamond aliandika kwenye page yake ya instagram >>> TANZANIA STAND UP! HE DID IT na kisha...
Jumamosi, 29 Novemba 2014
DIAMOND PLATNUMZ ANYAKUA TUZO 3 ZA CH0AMA14
Tar 29 Noember ni siku ambayo imewekwa historia kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva baada ya Diamond Platnumz kuchukua tuzo tatu za chanel O, pia ni historia kwa Afrika nzima.
Diamond alikua ametajwa kwenye vipengele vinne. Vipengele hiyo ni pamoja na Most Gifted East Video, Most Gifted Afro Pop video na Most Gifted Newcomer.
Kwenye tuzo hizo Diamond amefanikiwa...
Ifahamu idadi ya majeraha kwa Manchester United.
Unapozungumzia suala la majeraha ya wachezaji bila shaka mashabiki wa Manchester United wanapata homa ya ghafla .
Hii ni kwa sababu timu hii imekuwa na orodha isiyoisha ya wachezaji wenye majeraha .
Mbaya zaidi ni kwamba kila orodha hii inapoonyesha dalila za kungua mchezaji mwingine anaemia na inazidi kuwa ndefu .
Orodha hii iliongezeka kwenye mchezo dhidi ya Hull City...
Haya hapa majina yaliyoteuliwa na PAC kuandika maazimio ya kuwawajibisha watuhumiwa wa Escrow
Baada
ya Spika wa Bunge kuahirisha Bunge mara mbili siku ya leo Novemba 29
ili kuipa nafasi kamati ya PAC iweze kufanya marekebisho ya maneno
yaliyoandikwa kwenye maazimio yaliyowasilishwa na Kamati ya PAC,
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Zitto Kabwe ametaja majina ya walioteuliwa na Kamati hiyo kuandika maazimio ya kuwajibisha watuhumiwa wa Tegeta Escrow.
Kupitia...
Kilichosemwa na Kamanda Kova na Waziri Lazaro Nyalandu kuhusu ajali ya Helikopta
Taarifa
ambayo imeripotiwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari ni kuhusu watu
wanne kufariki kutokana na ajali ya Helikopta inayomilikiwa na Wizara ya
Maliasili na Utalii, yenye namba 5HTWA kuanguka katika eneo la
Kipunguni B, Ukonga Dar es salaam.
Akizungumza na kituo cha ITV Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova amethibitisha kutokea...
Hiki ndicho alichokiongea yule Msichana aliyempiga Mtoto Uganda.
Baada ya story ya yule msichana kwa anayefanya kazi za ndani Uganda
kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, leo
kipo ambacho amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu afanye kosa hilo.
Msichana huyo Jolly Tumuhiirwe ambaye kwa sasa amekamatwa na Polisi amesema sababu iliyomfanya amtese mtoto Arnella Kamanzi, ni kutokana na kuchanganyikiwa...
Alhamisi, 27 Novemba 2014
Mnigeria mwingine kwenye hatia ya kusafirisha dawa za kulevya
Idadi
ya raia wa Nigeria wanaokamatwa na dawa za kulevya inazidi kupanda siku
hadi siku, ambapo taarifa iliyopo ni kwamba mtu mmoja mwenye umri wa
miaka 35 amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha
dawa za kulevya.
Jamaa huyo Abuchi Ngwoke
alikamatwa mwaka 2012 uwanja wa ndege wa Malaysia baada ya kukamatwa na
dawa hizo zenye uzito wa gramu...
Baada ya ishu ya Escrow, haya ni majibu mawili ya Waziri Mkuu Pinda ikiwemo kujiuzulu
Kikao cha Bunge leo Novemba 27 kimeanza kwa maswali mawili kuulizwa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
“…Chini ya
uongozi wako kama Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
ukiwa kiongozi wa shughuli za Kiserikali Bungen, tumeiona Serikali
ikikumbana na matatizo na vikwazo vingi ikiwemo ‘Operesheni Tokomeza’...
Picha ya kwanza ya mbrazil mpya wa Yanga mazoezini, je atafuzu majaribio
Wiki
iliyopita nilikuletea taarifa juu ya ujio wa mchezaji mpya wa kimataifa
wa klabu ya Yanga Emerson de Oliveira Neves Roque – mbrazil ambaye
ameletwa nchini kuja kufanya majaribio na endapo ikifuzu basi ndio
itachukua nafasi ya mbrazil aliyeondoka Jaja.
Jana jioni mchezaji huyo huyo aliwasili na leo hii mchezaji huyo
ameanza mazoezi mepesi asubuhi katika Uwanja...
Picha: Diamond Platnumz na Fally Ipupa kwa mara nyingine tena kwenye Mjengo wa BBA
Hii ni mara ya pili kwa msanii Diamond Platnumz kualikwa ndani ya jumba la BBA akiwa na mwanamuziki kutoka Congo, Fally Ipupa
ambapo wameshiriki chakula cha mchana pamoja na washiriki waliobaki
kwenye Jumba hilo, safari hii wasanii hao wameingia kwa ajili ya
kuhamasisha ONE Campain ambayo inahusu kilimo, moja ya
Project zilizowahi kufanywa na Kampeni...
NI MWINGINE TOKA KIGOMA,DIAMOND NA KIBA MJIPANGE KIJANA AMEKUJA NA SPIDI KALI

Ni msanii mwingine hatari ambae anachipukia kwenye game Mkasulu Junior huku akisindikizwa ngoma yake kali inayokwenda kwa jina la tulichart ambayo amefanya kwa producer makini MARO.Hofu yangu mi kuwapoteza hawa wakongwe ambao ametoka nao mkoa mmoja,mkoa ambao unatamba katika game ya muziki Tanzania si mwingine nazungumzia Kigoma.Tumpokee kwa mikono miwili wapenzi wa bongo...
Jumapili, 23 Novemba 2014
Rekodi aliyoivunja Diamond Platnumz na kuiacha ya P Square
.
Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao
kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good
news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania.
Mmiliki wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo’ Diamond Platnumz ameipiku
video ya wakali wa Nigeria P Square baada ya kupata views nyingi ndani
ya siku...
Ijumaa, 21 Novemba 2014
Kipa wa Chelsea yuko sokoni.
Klabu za Arsenal , Liverpool na Real Madrid ziko kwenye vita kali ya kuwania kumsajili kipa wa Chelsea Petr Cech .
Chelsea inaalzimika kumuuza kipa huyo kwa kuwa hana nafasi ya kudumu
kwenye kikosi cha kwanza baada ya kurudi kwa kipa Mbelgiji Thibaut
Courtois .
Hadi sasa Chelsea haijapoteza mchezo wowote msimu huu huku Thibaut
akicheza kwenye mechi karibu zote hali...
Ni Diamond Platnumz kwenye XXL leo Novemba 21, isikilize hapa full interview…
Kupitia youngluvega.blogspot.com
siku ya juzi ulipata taarifa kuhusu msanii wa Bongo Fleva Diamond
Platnumz kuachia nyimbo yake mpya ambapo kwa mara ya kwanza ilionyeshwa
kupitia kituo cha MTV, na jana ikawa siku rasmi ambayo Diamond aliachia
nyimbo hiyo.
Leo Novemba 21, Diamond amesikika kwenye show ya XXL
ambapo amezungumzia mambo mengi, baadhi ya yale aliyoyazungumzia...
Alhamisi, 20 Novemba 2014
Louis van Gaal kayatoa ya moyoni…. anataka nani ashinde Ballon d’Or 2014? Ronaldo na Messi ?
Wanaowania tuzo ya Ballon d’Or 2014 walishatangazwa ambapo list hiyo pia inawahusisha mastaa wa soka kama Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, huku list hiyo ikiwa pia na wachezaji wa Ujerumani iliyoshinda kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil.
Baada ya ushindi wa Ronaldo na Messi kuchukua headlines sana kocha wa Manchester United Louis van Gaal
(63) ameamua kuyatoa...
Baada ya kuandikwa amemuomba Diamond collabo, Jose Chameleone ametoa haya majibu
Ni
stori nyingi tunakutana nazo kwenye vyombo vya habari kila tunapoamka
na mara nyingi tunaamka nazo kwenye mitandao ya kijamii moja wapo ikiwa
hii ya mwimbaji wa Uganda Jose Chameleone kudaiwa kumuomba Diamond wafanye collabo.
Kwenye interview na Mambo Mseto ya Radio Citizen November 19 2014 Chameleone amekanusha hizo taarifa kwa kusema ‘kitu
ambacho nitakwambia...
Kauli ya Raisi wa Simba kuhusu usajili wa Mnigeria Emeh Izechukwu
Siku chache baada ya dirisha la usajili kufunguliwa kumekuwepo na
tetesi za usajili kumhusu mshambuliaji wa kinigeria Emeh Izuchukwu
kurudi Msimbazi.
Lakini Rais wa Simba SC, Evans Elieza Aveva amesema kwamba hawana
nafasi ya kusajili ya mshambuliaji wa kigeni na kwamba Emmanuel Okwi,
Amisi Tambwe na Paul Kiongera wanawatosha.
Kauli hiyo ya Aveva inakuja wakati tayari...
Kwa wale watumiaji wa mboga za majani Dar, hii imetokea jana kwenye habari
Huenda
wewe ni mmoja kati ya walaji wa mbogamboga za majani lakini hujui mboga
hizi zinalimwa katika mazingira gani… sasa baraza la mazingira Tanzania
NEMC limebaini kuwa wakulima wa mboga za majani Dar wamekuwa wakitumia
majitaka kumwagilia hizi mboga.
Afisa wa NEMC amezungumza na ITV na kusema; “…
Kama Serikali hatuwezi kuruhusu kitu kama hicho.. hatutaruhusu tena...