Alhamisi, 22 Oktoba 2015

Familia ya Mwanamuziki Diamond Yammwaga Rasmi Zari..Sababu Hizi Hapa

THE game is over! Sasa ni wazi kuwa familia ya staa mkubwa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnamz’ imemtema rasmi mzazi mwenzake Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwa kile wanachodai …. “Tumechoshwa na uzungu wake”, Risasi Mchanganyiko linaweza kuandika. Chanzo kilicho karibu na familia hiyo kililiambia gazeti hili kuwa kina taarifa kuwa...

Picha 16 Za MAFURIKO Ya Lowassa Huko Tanga- Jana Oktoba 21

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akipunga mkono wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Indian Ocean katika mkutano wa kampeni mjini Tanga jana Jumatano 21/10/2015 ...

CHADEMA Wafichua Mbinu Zilizopangwa Kuvuruga Uchaguzi wa Jumapili hi

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, Reginald Munisi (kulia) akifafanua jambo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdallah Safari ** ZIKIWA zimebaki siku tatu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefichua mikakati iliyopangwa kuvuruga uchaguzi huo. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, Reginald...

Madai ya Kumuua Mwigizaji Kanumba LULU MICHAEL Mahakani Tena...

Stori: Na Brighton Masalu MAMBO yameiva! Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ (20) yu mbioni kupanda tena Kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kwa ishu yake ile ya madai ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii wa filamu nchini, marehemu , Amani lina ripoti mkononi. Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta...

Hatimaye Mama Maria Nyerere Ampigia Kampeni Magufuli

CCM tayari wameshatengeneza video ya mama Maria Nyerere akiwaomba akina mama wotewampigie kura Magufuli. Video hii iko inasambaa Whatsup. Kaongea mengi kuwa ni mchapa kazi na Mwadilifu. Swali langu kwa bibi angu mama Maria, ikiwa CCM itashindwa, heshima yote tunayokupa sisi wananchi itakuwaje? Maana yake wote watakaoongoza rohoni mwao watakuwa wanajua kabisa hukuwapenda...

UKAWA Watishia Kutoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Jumapili

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinachoungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimetishia kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, Reginald Munisi amesema wanadhamilia kutoshiriki katika uchaguzi huo kutokana Tume yaTaifa ya Uchaguzi (NEC) kutokuwa na msimamo katika kazi zake. Anasema...

Katibu Mwenezi wa CCM Nape Nnauye Apata Ajali Mbaya ya Gari

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amepata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam. Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Lindi  alipata ajali hiyo baada ya tairi la mbele la gari aliyokuwa akiendesha aina ya Toyota Land Cruiser kupasuka na kupinduka mara kadhaa katika eneo...

Muonekano wa Gari ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye, Toyota Land Cruiser Baada ya Kupata Ajali Mbaya Jana Usiku

 Muonekano wa gari ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye, Toyota Land Cruiser baada ya kupata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es Salaam. ...

Magufuli Asimamisha Jiji La Dar.......Asema Tanzania Inahitaji Rais Mkali. CHADEMA Wampokea Kwa Ishara Ya Vidole Viwili Juu

Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema nchi inahitaji rais mkali ili mambo yaende huku akishangazwa na mmoja wa vigogo kufungua kesi kupinga mradi wa maji. Amesema watu wa aina hiyo watakiona na anamuomba Mungu kwa siki tatu zilizobaki apewe urais kwa vile hao ndiyo ataanza kushughulika nao. Kauli hiyo aliitoa   Dar es Salaam jana...

Jumamosi, 17 Oktoba 2015

HUYU NDO MKE WA MAREHEMU MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE ALIYE FARIKI KWENYE AJALI YA HELIKOPTA YA CCM

Huyu Ndo Mke wa Marehemu Mbunge Deo Filikunjombe Aliyefariki Kwenye Ajali ya Helkopta ya CCM   ...

P-square na Fally Ipupa Walitamani Kuwachukua Dancers wa Diamond

Dancers wa P-Square pamoja na msanii mkubwa wa nchini Congo, Fally Ipupa walijaribu kumshawishi Diamond ili wafanye kazi ya pamoja na dancers wake. Akizungumza na Bongo5 jana mmoja wa dancers hao, Imma Platnumz, alisema hali hiyo ya kufuatwa na dancers wa P-Square inaonyesha kazi wanayoifanya inakubalika. “Tulikuwa tupo Nigeria tunafanya show, dancers wa P-Square wakataka...

MWANAMUZIKI ALI KIBA ATOA WIMBO MPYA...USIKILIZE HAPA JINA LA WIMBO MAUMIVU

Huu ni wimbo mpya wa msanii Ali Kiba ambao umevuja unaitwa “Maumivu” Producer: Manec...

PICHA ZA MABAKI YA HELIKOPTA ILIYOPOTEZA UHAI WA MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE

Mwili wa Deo Filikunjombe ukitolewa Eneo la tukio baada ya kuteketea kwa Moto kufuatia ajali ya helkopta. Waliofariki mbali ya Filikunjombe wengine ni Mwenyekiti wa TLP Mkoa wa Iringa Blanka Francis Haule ,Egdi Francis Nkwela na rubani wa helkopta hiyo Wiliam  Slaa. Miili yote imepelekwa jijini Dar esalaa kutoka katikati ya mbuga ya Selou kitalu...

Mkuu wa Majeshi Jenaral Davis Mwamunyange Arejea Nchini Mzima wa Afya..Baada ya Tetesi za Kulishwa Sumu

Sakata la Mkuu wa majeshi lililotikisa Mitandao Mbalimbali hapa nchini kuhusu afya yake hatimaye Mkuu huyo wa Majeshi amerejea Nchini kutoka kwenye ziara ya Kikazi nje ya Nchi,Mkuu huyo wa Majeshi hakuoneka Hadharani kwa Muda mrefu ndipo zikaanza taarifa za kulishwa chakula chenye Sumu....

Ijumaa, 16 Oktoba 2015

BAADA YA KUJITOA CCM BAKOZI JUMA MWAPACHU ATOA MPYA..ADAI HATA NYERERE ANGEKUWEPO ANGEJITOA CCM

Siku moja baada ya kutangaza kujitoa CCM, kada mkongwe wa chama hicho, Balozi Juma Mwapachu amesema uamuzi alioufanya ni sahihi ambao hata Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere angekuwa hai angeufanya kwa sasa. Balozi Mwapachu alieleza hayo jana katika mahojiano maalumu na kuongeza kuwa chama chake cha zamani kimepoteza mwelekeo kwa kuwa kinara wa kuvunja katiba na...

LULU, WEMA WAFIKA PABAYA..KISA UHUSIANO NA DAIMOND ..

Pamoja na wenyewe kudai hawajui kilichotokea, mastaa wawili wenye sura za mauzo kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Wema Isaac Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya kufuatia bifu zito linalofukuta kati yao. Habari za mjini zinadai kwamba, Wema amekuwa akishtushwa na kuchukizwa na kitendo cha Lulu kuwa upande wa aliyewahi kuwa mwandani wake, Nasibu...

HABARI KUHUSU HELIKOPTA YA CCM ILIYOANGUKA MBUGANI IKIWA NA MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE

Usiku wa kuamkia leo October 16 2015 majukwaa  ya siasa Tanzania yametawaliwa na ajali ya Helikopta ambayo imeanguka na kulipuka kwenye mbuga ya Wanyama ya Selous ambapo Waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu alithibitisha kwamba mmoja wa waliokuwemo ndani ni Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (CCM). Kupitia  ukurasa  wake  wa  Twitter,Nyalandu...

BAADHI YA VITUKO VILIVYOPO NDANI YA DAFTARI LA WAPIGA KURA..PICHA ZIMEPIGWA JANA WAKATI UKAWA WAKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

Huyu  Kaandikishwa  kwa  jina  la  GGGHUH  GGJGJHGHG GGHGGGHG Mwangalie  vizuri  mzungu    na  majina  yake. Picha  ya  pembeni  kulia  ni  kitu  cheusi  na  siyo  sura  ya  mtu Angalia  Jina  na  hiyo  picha....