Jumanne, 14 Novemba 2017

Mnunuzi Feki wa Nyumba za Lugumi Kupimwa Akili

Bilionea Dkt. Luis Shika ambaye wiki iliyopita alitangaza kununua nyumba za kifahari za mfanyabiashara za Said Lugumi, zilizopo eneo la Bweni JKT jijini Dar es salaam anatarajiwa kupelekwa hospitali kupimwa afya ya akili.Hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Benedict Kitalika, ambapo...

Dk Cheni Awapa Makavu Wanaomsakama Lulu Kuhusu Dhamana

MSANII mkongwe katika tasnia ya maigizo Bongo na mshereheshaji (MC), Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ ambaye ni mlezi wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa maoni yake kwenye mtandao wa kijamii baada ya kuibuka maneno mengi kwenye mitandao hiyo ambapo watu wengine wanasema Lulu amepewa adhabu ndogo na wengine wakipendekeza angefungwa kwa miaka mitano na kuendelea.Dk Cheni...

Yanga Yasajili Straika Mpya wa Maana

ZIKIWA zimebaki siku moja kabla ya kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili hapa nchini, uongozi wa Yanga unajipanga vilivyo kuhakikisha unakiimarisha kikosi chake ili kiweze kufanya vizuri katika mechi zake zijazo za Ligi Kuu Bara lakini pia katika michuano ya kimataifa. Uongozi unahitaji kusajili wachezaji wanne katika dirisha hili dogo la usajili kwa ajili ya kuziba upungufu...

Wabunge Wanaotaka Pensheni Watakiwa Kuanzia Bungeni Kabla ya Kufika Serikalini

Serikali imewataka wabunge wanaotaka utaratibu wa kulipwa pensheni mara baada ya kumaliza kipindi cha ubunge urejeshwe, walipeleka jambo hilo kwanza kwenye  Tume ya Utumishi ya Bunge kabla ya kulifikisha serikalini. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde amesema leo Jumanne bungeni kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria wakati...

Idriss Atuma Salamu za Pole kwa Mama Lulu "Mama Ndio Tunahitaji Kukuangalia Zaidi"

MCHEKESHAJI na mshindi wa Big Brother Africa, Idris Sultan, ametoa pole kwa mama wa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Kalugira, kwa kipindi kigumu alichokianza jana baada ya bintiye kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kutokana na kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba. Sultan amesema jamii impe faraja na kumtia moyo wakati akiwa katika huzuni...

Mange Kimambi Afunguka baada ya Lulu kupigwa mvua ya Miaka Miwili

From @mangekimambi_ - Breaking newzzzzzzzz..... Lulu amekutwa na hatia ya kuuwa bila kukusudia na amehukumiwa miaka miwili jela..........Dah huyu jaji anawaza kama mimi posti yangu niliyoposti masaaa mawili yaliyopita nilisema ningekuwa jaji ningemkuta na hatia ila ningempa adhabu ndogo mwaka mmoja au miwili jela.........Jaji ametenda haki......Sio kama nimefurahi Lulu kafungwa...

Jumatano, 5 Julai 2017

Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu

Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo,kupendelea sana kuangalia picha za uchi,Kusahausahau,Kupendelea story za mapenzi,Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya...

Jumanne, 4 Julai 2017

NILIIBIWA sana Facebook – Mch Anthony Lusekelo Afunguka

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kama ‘Mzee wa Upako’ amefunguka kuwa yeye ni moja ya Wachungaji ambao wapo nyuma sana kwenye mitandao ya kijamii na kukiri kuwahi kuibiwa kwenye mtandao wa Facebook na watu wanaotumia jina lake. Mzee wa Upako amesema kutokana na kuwa na elimu ndogo ya mitandao ya kijamii amewahi kuibiwa na watu mitandaoni...

Ijumaa, 16 Juni 2017

Mapenzi yamekua Rahisi Sana Ndo Maana Ndoa Hamna Siku Hizi

Eeh ndo hivyo, akina dada wengi wanajirahihisha sana wala hawaoni aibu kuzungusha kwa vijana wa mtaani na maofisini.Zamani nasikia msichana unaweza ukafukuzia miaka mi 2 na kuendelea nowdays ukitoka nae tu appointment chupa ya pili ikikolea kichwani akili yote inakimbilia chini kazi kwako tu kuangusha kwa ubua Kingine material things, watu wengi wako kimaslahi ndo maana...

Alinisaliti, Nilichomfanyia Hatokaa Anisahau Daima

Jumamosi iliyopita nikiwa katika matembezi ya hapa na pale katika fukwe moja hapa jijini,nimekaa na co worker napata juice ya baridi huku yeye akiisindikiza siku na castle light.wanaingia wanawake wawili mmoja mnene sana kimaumbile.wanaketi meza jirani kidogo na tulipo sisi,Ghafla nakosa amani,mapigo ya moyo yanaongezeka.. Nakua nawatazama sana hawa wanawake,ila wao...

Simba Walimdaka Niyonzima Airport...Yanga Yaambulia Patupu

WAKATI Yanga wakimsubiria kiungo wao mchezeshaji, Haruna Niyonzima atue nchini kwa ajili ya kumuongezea mkataba watani wao wa Simba wenyewe hawakauki Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere ili wamsainishe. Hiyo, ikiwa ni siku chache tangu tetesi zienee kuwa kiungo huyo anayemudu kucheza namba nane tayari amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba....

Kalapina Awataka Wale Waliomteka Roma Mkatoliki Wakamteke na Yeye ili Awaonyeshe Kazi

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mmoja wa Watu wanaoaminika kuwa ni Mbabe kama siyo Mtemi na Ngumi Jiwe wa kutukuka Kalapina jana wakati akihojiwa na Kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds fm aliamua kutema nyongo / kuvunja ukimya juu ya Kitendo cha Msanii mwenzake na mshikaji wake Roma Mkatoliki Kutekwa. Kalapina ambaye anasifika mno kwa Usela / Uhuni na ukorofi...

Alichokisema Kafulila Baada ya Serikali Mkoani Kilimanjaro Kuharibu Shamba la Mbowe..!!!

ALIYEKUWA Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amelaani hatua ya Mkuu wa Wilaya ya Hai, Gelasius Byakanwa kutumia mamlaka yake kuvamia na kuharibu shamba la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Juzi, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya walivamia shamba la Mbowe nyumbani kwake Machame na kuharibu miundombinu, mali, mboga na...

UVCCM Wampa za Uso Lowassa Kuhusu Sakata la Makinikia..!!!

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) umemtaka Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Rchmond Edward Lowassa kuacha uongo kwani hana historia ya kupigania maslahi ya umma. Aidha, imesema madai ya lowassa kwamba aliwahidi wananchi angeunda Tume ya kupitia mikataba ya madini kama angeshinda urais ni uongo na kutaka kujitafutia umaarufu wa kisiasa.  Pia...

Maajabu Marekani Imesaini Mkataba wa Kuizia Qatar Ndege za Kivita Aina ya F-15 kwa $12billions..!!

Wengi Mnakumbuka Sekeseke la Juzi ambapo Marekani waliishutumu Qatar kusaidia kifedha Mitandao ya Ugaidi. Balozi mbalimbali zilifungwa na Sasa Marekani na Qatar wamesaini deal ya Kuuziana ndege za Kivita aina ya F-15 zenye Thamani karibia Tsh. 25Trillion...

Madiwani wa Moshi Wasusa Semina Kisa Malipo ya Posho Kuwa Madogo..Wataka Walipwe Laki Moja Kwa Kikao..!!

HALI ya taharuki imeibuka katika Halmashauri ya Moshi baada ya madiwani kugomea mafunzo ya utaratibu ulioboreshwa wa uendeshaji  ruzuku ya maendeleo kwenye mamlaka za Serikali za mitaa (LGDG), wakishinikiza kulipwa posho ya Sh 100,000 kila mmoja.  Mafunzo hayo yaliyokuwa yanasimamiwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), yalihusisha...

Friji Lateketeza Jengo la Ghorofa 27 kwa Muda wa Dakika 15..!!!

MOTO uliozuka kwenye jengo la ghorofa 27 lililoko London Magharibi kwa dakika 15 baada ya friji kulipuka, itakuwa ni moja ya ajali mbaya kupata kutokea katika historia ya nchi hii huku kukiwa na hofu ya kutokuwa na manusura katika ghorofa tatu za juu. Watu sita wamethibitishwa kupoteza maisha katika moto huo ulioligubika jengo la Grenfell Tower lililoko...

WCB Wabadilike Uimbaji

Nashangaa kuona wasanii wote wanaimba key moja mwisho wa siku haitambuliki huyu ni nani sababu wanaigana kama wataendelea hivi watachokwa hakuna anayetaka kubadika. Baada yakuja huyo Lava Lava nikazani anakuja na key tofauti kumbe yale yale leo katoa nyimbo mpya inaitwa teja anaimba kama Diamond au harmonize. Game ya mziki kwa sasa imepoa sana wasanii wajaribu kuja...

Ijumaa, 9 Juni 2017

Kajala Aibuka na Haya Kuhusu Wema Sepetu..Adai Hata Mwanae ni Shahidi..!!!

TASNIA ya filamu nchini imepambwa na wasanii wa kike wenye urembo unaovutia macho na hakika kwenye orodha ya waingizaji wenye kipaji, uwezo na mvuto huwezi kumuacha, Kajala Masanja. Huyu ndiyo bosi wa kampuni ya Kajala Entertment,  ambayo imetengeneza filamu nyingi ikiwemo ile ya Sikitu ambayo chini ya mpicha Farid Uwezo iliweza kufanikiwa  kuliteka soko...

Vita Ya Malipo Kiduchu Haijawahi Kumuacha Modo Salama!

AMANDA Swartbooi moja kati ya wauza nyago katika video Afrika akitokea Afrika Kusini. Amanda ametokea kujizolea umaarufu kwa kipindi kifupi cha mwaka jana ambapo ametokea katika video kadhaa Afrika ikiwemo Coolest Kid ya Davido akimshirikisha Nasty C wa Afrika Kusini, Four4 ya JR pamoja na Show Me ya Rich Mavoko akiwa na Harmonize.Licha ya kufanya poa huko, ameshawahi kukiri...