Jumamosi, 18 Februari 2017

Hivi Ndivyo Uzuri wa House Girl Ulivyomponza Mke wa MTU Mpaka Akaambukizwa Ukimwi

Inasikitisha sana. Fuatilia mkasa huu mwanzo mwisho.... Mke alimhisi mmewe kuwa anatembea na housegirl wao kutokana na ukweli kuwa, housegirl alikuwa mzuri mno kimuonekano, kiumbo na kwa sura. Alifikiri kumfukuza ila mme aligoma kutokana na uchapakazi wa binti yule. Hivyo, hakuona sababu ya msingi ya kumfukuza. Hakika housegirl alikua akizidi kumnyima usingizi mke...

Mwanamke Aelezea Jinsi Askari Walivyombaka Msumbiji

Wakati Serikali ikiahidi kufanya uchunguzi wa vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu katika kutimua Watanzania nchini Msumbiji, mwanamke mmoja amesema alibakwa na askari watatu kabla ya kuwekwa mahabausu ambako alikaa siku tatu bila kula. Mwanamke huyo, aliyejitambulisha kwa jina la Halima (si jina lake halisi) ni mmoja kati ya zaidi ya Watanzania 180 ambao wamekuwa...

Makubwa Haya..Ray C Afunguka Kumpenda Rayvanny,Adai Anatamani...!!!

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Ray C amedai kuwa anamkubali zaidi Rayvanny kutoka lebo ya WCB. Ray C amesema kuwa amesikia msanii huyo amewaandikia wasanii wengi nyimbo hivyo na yeye anatamani siku moja aje kufanya naye kazi. “Nampenda sana yule mtoto Rayvanny. Anaandika sana mashairi, nasikia anaandikia wasanii wengi nyimbo...

Baada ya Sekeseke la Madawa ya Kulevya Kutulia,TID Aamua Kumtaja Tena Diamond..!!!

Kwa sasa msanii TID Mnyama anahakikisha anarudisha makali yake ya zamani kwenye muziki. Muimbaji huyo amewaahidi mashabiki wake kufanya kazi na Diamond hivi karibuni. Akiongea kwenye kipindi cha XXL, kupitia Clouds FM Ijumaa hii, Mnyama amesema kuna nyimbo anayofikiria kumshirikisha Diamond ambaye taarifa hizo tayari ameshazipata. “Nina ngoma nafikiri itafaa...

Binadamu Kuanza Kuwekewa Moyo wa Plastiki,Soma Hapa Kujua Utakavyofanya Kazi...!!!

NCHINI Marekani kila baada ya dakika 10 mtu mmoja huwekwa kwenye foleni ya watu wanaosubiri kuwekewa moyo mpya ili kuweza kuendelea kuishi. Hali hii hotokea baada ya moyo wa mgonjwa kuonekana hauwezi kufanyiwa matibabu na hivyo njia pekee ya kuokoa maisha yake ni kupata moyo mpya ambao huwekewa kwa njia...

Kudadadeki..Hivi Ndivyo Mbowe Alivyofanikiwa Kuwatoroka Polisi Mchana Kweupe Wakati Wakimtafuta..!!!

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, limemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujisalimisha Polisi mara moja kwa ajili ya Mahojiano yanayohusu vita vya dawa za kulevya baada ya juhudi za kumsaka katika makazi yake kushindikana huku simu yake ya mkononi ikiwa imezimwa  Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam...

Mbeya : Mama Afukua Kaburi la Mwanae,Kisa Kamili Hiki Hapa...!!!

Katika hali isiyo ya kawaida mama mmoja mwenyeji wa mkoa huu wa mbeya mji mdogo wa mbalizi, usiku wa kuamkia leo alienda kaburini alikokua kafukiwa mwanae aliyefariki dunia Siku ya jumatatu na kuzikwa jumanne ya wiki Hii na kufukua kaburi hilo na kuitoa maiti  Kwa mujibu wa mama huyo maarufu Kama mama vumi anadai aliambiwa na mchungaji kuwa mwanae hajafa Bali...

Makonda Hakukosea Kumtaja Wema Sepetu - Martin Kadinda

Meneja wa zamani wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amedai Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda hakukosea kumtaja Wema Sepetu kwenye list yake ya watuhumiwa wa biashara haramu ya madawa ya kulevya kutokana na aina ya marafiki ambao amekuwa nao. Martin amedai yeye alitumia nguvu nyingi kumshauri muigizaji huyo kuachana na marafiki wasioeleweka. “Nadhani nilishakaa...

Ripoti ya Ugunduzi Mpya wa Bara la 8 Duniani

Wanasayansi wafahamisha kuwa bara la 8 lawezekana kuwa lipo chini ya bahari ya Pasifiki. Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa katika jarida la Marekani la 'Geological Society of America' ni kwamba bara hilo limepewa jina la Zealandia . Bara hilo lililokubalika na wanasayansi linasemekana kupatikana katika upande wa Kusini Magharibi mwa bahari ya Pasifiki. Liko...

Ijumaa, 17 Februari 2017

Polisi yaongea kwanini Diamond Platnumz hakufikishwa Mahakamani kama wale wa Singida

Mohamed Mpinga ni Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania na amekubali kukaa kwenye Interview na Ayo kujibu baada ya watu ku-comment kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuona Diamond amepost picha akiwa na Kamanda na hakupelekwa Mahakamani. Kamanda Mpinga ameeleza kwanini Mwimbaji Diamond Platnumz hakupelekwa Mahakamani baada ya video yake kusambaa...

Ulimi Kisimini-Siri Ya Mwanamke Kufika Kileleni.

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa tendo) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na...

Issue ya Masogange Kushikiliwa na Polisi ka Kuhusika na Madawa ya Kulevya, Uwoya Amlipua Wema...!!

Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu baada ya kumtaja masogange kuwa mi miongoni mwa ma staa wanaotumia na kuuza madawa ya kulevya, staa hyo alitumia tafsida kufikisha ujumbe kwa wema sepetu...

Uwoya ni Gusa Unate..!!!!

Msanii maarufu wa filamu Bongo, Irene Uwoya (pichani)  anatajwa kuwa kati ya mastaa wa kike Bongo aliyewahi kutoka na mastaa na vigogo mbalimbali huku ikidaiwa kuwa, kila aliyekuwa naye alimuacha yeye na si kuachwa. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Uwoya aliyeomba hifadhi ya jila lake, staa huyo mwenye shepu na mvuto wa kudatisha kimahaba amekuwa akipapatikiwa...

Baada ya Kumuita Nyani, Iyobo Amvaa Tena Harmorapa...!!!!

KIONGOZI wa madansa ambaye ni dansa tegemezi wa Wasafi Classic Baby (WCB) Mose Iyobo amefunguka kuwa yeye hana imani na Harmorapa na anashangaa anavyotajwa kila mahali kwani yeye hajawahi kusikia kazi yake yoyote hivyo hajui uwezo wake kimuziki. Iyobo aliendelea kwa kutoa povu kuwa yeye anamchukulia Harmorapa kama mtu aliyekurupuka kwenye muziki na hajui ni nini...

MSUMBIJI: Mwanamke wa Kitanzania Abakwa Mpaka Kufa. Serikali Imefungwa Pasta?

Jamani, Hii inasikitisha sana tangu kuanza kusikika kwa sakata la watanzania kufurushwa uko msumbiji mengi yametokea lakini serikali yetu inaonesha kuwakandamiza watanzania kuwaonesha hawakuwa wakiish kihalali kabisa. Okay Yote sawa mtu kwao lakini serikali ya msumbiji inafata utaratbu kuwarudsha watanzania? Je, sisi huwa tunavunja sheria kuwarudsha kistarabu?? Maofisa...

Taarifa ya Kikao cha Kamati Ndogo ya Kamati Kuu cha Dharura cha CHADEMA...!!!

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)​ TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI NDOGO YA KAMATI KUU​ 1.0 UTANGULIZI Kikao cha Kamati Ndogo ya Kamati Kuu cha dharura kilichoketi tarehe 14 Februari, 2017 Jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya Bahari Beach kilipata nafasi ya kujadiliana kwa kina kuhusu matukio mbalimbali yanayoeendelea...

Yaliyojiri Mahakamani Kisutu Kesi ya Masogange..!!!!

KIMUHEMUHE kilitanda kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo  Feb 17, 2017, kufuatia ndugu, jamaa na marafiki wa model, Agness Masogange kufurika huku wakitarajia kumuona ndugu yao huyo akifikishwa mahakamani hapo . Ndugu hao waliwasili Kisutu mapema asubuhi na kuweka kambi mahakami ili kusikiliza kesi ya masogange anayehusishwa na tuhuma za...

Jumatano, 15 Februari 2017

Naibu Waziri wa Afya kuweka hadharani majina ya mashoga Dar es Salaam

Naibu Waziri Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangalla amesema kuwa atawaweka hadharani wanaume wote wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi moja (mashoga) ambao hufanya biashara hiyo kupitia mitandao ya kijamii. Naibu Waziri aliyasema hao jana usiku kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo alieleza kuwa yupo katika ziara jimboni kwake na...

Hana Hamu ya Kufanya Mapenzi na Mimi..Naomba Ushauri

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nina mpenzi wangu wa muda mrefu toka 2014 japo mapenzi yetu yamekuwa hayana muendelezo muzuri kutokana na tabia za huyu mwenzangu. Tulianza mahusiano yetu vizuri sana baadae mwenzangu alibadilika ghafla, nikaja kugundua alikuwa na mahusiano na wanaume wengine (zaidi ya mmoja) tukawa tumepotezana kwa mda kidogo coz alikuwa hapokei...

Ni kweli Diamond Platnumz aliitwa na Polisi leo, sababu na kilichotokea vipo hapa tayari

Kama kuna picha umekutana nazo leo Mitandaoni zikimuonyesha Diamond Platnumz akiwa kituo cha Polisi akihojiwa nina uhakika utakua umejiuliza ni nini kilitokea. Ni kweli leo Diamond aliitwa na Polisi na kwenye hiyo picha pia anaonekana Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Kamanda Mohamed Mpinga na kilichofanya aitwa...

Baada ya Kulianzisha,,Makonda Yupo Hatarini Kuuawa,Vigogo wa Madawa ya Kulevya Wapanga Mikakati ya Kummaliza kwa Gharama Yeyote Ile..!!!!

Wakati vita dhidi ya madawa ya kulevya jijini Dar vikipanuka na kugeuka kuwa suala la kitaifa, kuna kila dalili kuwa usalama wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda upo hatarini, Risasi Mchanganyiko limebaini. Juzi Jumatatu, Paul Makonda alijitokeza tena hadharani na kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayohusiana na vita alivyovianzisha, huku ikiwa ni mara...

Huu Ndio Msikiti ambao Diamond Anapang Kuujenga..!!!

Diamond amejitolea kujenga msikiti. Hitmaker huyo wa ‘Marry You’ amesema kwa sasa anajenga msikiti huo lakini upo mkoani Mtwara. “Mimi nakushukuru sana mama yangu, asante sana. Naamini kabisa nitakuja Mtwara, Mtwara kule sasa hivi kuna msikiti ninaujenga na inshallah nikimaliza nitaenda kuuzindua,” alisema Diamond Jumamosi iliyopita kwenye sherehe ya 40 ya mtoto...

Jumanne, 14 Februari 2017

Mwanake ni Sura au Msambwanda?

Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja. Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka umbo na kwa sie waafrika toka kale tupo katika umbo tunamaanisha kalio lililoshiba vizuri yani msambwanda kwa lugha ya mtaani. Lakini kwa bahati mbaya...

Upepo Mchafu Wazidi Kumuandama Manji, Asakwa na Uhamiaji Kwa Kosa Hili

Baada ya Sakata la Madawa ya Kulevya kumuandama mpaka kufikia kulazwa Hospitalini, Uhamiaji nao wamekuja na Mpya baada ya kukamata Passport Kadhaa ofisini kwake za watu kutoka nje ambao wanafanya kazi kwenye kampuni yake bila vibali vya uhamiaji.....

Diamond Platnumz Athibitisha Kuwa Mbioni Kumrudisha Q-Chief Kwenye Ramani...!!!

Diamond Platnumz amethibitisha kuwa amejipanga kumrudisha Q-Chief kwenye ramani ya muziki baada ya uongozi wake wa QS Mhonda kushindwa kufanya hivyo licha ya kudai kutumia zaidi ya shilingi milioni 200 bila kupata faida. Kwa muda kulikuwepo na tetesi kuwa Diamond ana mpango wa kumsainisha msanii huyo mkongwe kwenye label ya WCB. Na sasa, ingawa hajasema kuwa amepanga...

Mshauri wa Rais Donald Trump Ajiuzulu

Mshauri mkuu wa ikulu ya White House kuhusu usalama wa taifa Michael Flynn amejiuzulu kuhusiana na uhusiano wake na maafisa wa Urusi, vyombo vya habari Marekani vinaripoti. Bw Flynn anadaiwa kujadili vikwazo vya Marekani dhidi ya Urusi akiwa na balozi wa Urusi kabla ya Rais Donald Trump kuingia madarakani. Anadaiwa kuwapotosha maafisa wa utawala huo mpya kuhusu mazungumzo...

Uvumilivu Unanishinda, Nashindwa Kutunza Bikira Yangu

Mimi ni msichana 21 aged, nishawahi pitia relationship 3( long distance). I never had sex with any of them tho. (im virgin), lakini siku zinavyozidi kwenda naona uvumilivu unanishinda...Marafiki zangu wanadai hiyo kitu ni tamu sana Sometimes, natamani niende na mwnaume yoyote tuu.  Ushauri wenu tafadhali. "Ndege mjanja asinase kwenye tundu bovu...

Ulinzi waimarishwa Taasisi ya Moyo Muhimbili Ambako Yusuf Manji amelazwa

Hali ya ulinzi imeimarishwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikolazwa mfanyabiashara Yusuf Manji baada ya kuugua ghafla akiwa polisi alikokuwa akihojiwa. Manji aliyekuwa akihojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini hapa alipelekwa hospitalini hapo juzi jioni akiwa ndani ya gari la wagonjwa aina ya Toyota Land Cruiser lenye nembo ya Shirika la Umoja...

Jumatatu, 13 Februari 2017

Makonda Amkumbusha Spika Kuwapima Wabunge Kilevi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, amemkumbusha Spika wa Bunge. Job Ndugai, kuhusu kusudio lake la kuanza kuwapima wabunge kubaini kama wametumia kilevi kabla hawajaiingia kwenye ukumbi wa chombo hicho cha kutunga sheria. Siku chache baada ya Rais Magufuli kutengua uteuzi wa Charles Kitwanga, kwenye baraza lake la mawaziri kutokana na kuingia bungeni akiwa...

Jumapili, 12 Februari 2017

UTAFITI: Wanawake Weupe Wanaringa Kuliko Weusi

Home Urembo UTAFITI: Wanawake Weupe Wanaringa Kuliko Weusi UTAFITI: Wanawake Weupe Wanaringa Kuliko Weusi Urembo Kutokana na utafiti niliofanya mimi mwenyewe sasa ni dhahiri wanawake weupe wanaringa sana kuliko wale weusi... Utafiti huu ulijumuisha kuwatokea moja kwa moja, asilimia...

Huwa Napata Shida sana Nikikutana na Wanawake Wenye Hii Tabia

Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29 years..utamsikia,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anajua...

Hivi ni Kwanini Wanawake Wengi Hujivunia Sana Makalio Yao?

Angalia hata picha wanazopiga wanawake utaona jinsi wanavyojibinua ili wanaonekane wana makalio makubwa. Hata wakati wa kutembea pia wengine hutembea tofauti ili kuhakikisha kuwa makalio yake yanatikisika na ndio maana hata wengine hudiriki hata kutumia dawa za mchina ili kukuza makalio yao na hata baadhi yao wakati mwingine hujigamba kuwa eti wanamshukuru...

Mke Wangu Anunuliwa Nguo za Ndani na Mwanaume

Baada yakudakua mawasiliano ya mke wangu na kukuta Jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo watafutane ampatie.. Baada ya siku mbili tatu nakaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudakua mawasiliano yake tena. Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha. Kiumweli...

Ubuyu wa Moto Moto..Masogange Afunguka A to Z Juu ya Kupangiwa Mjengo na Makonda…

ISHU hot iliyotrendi wiki hii ni kuhusu kigogo mmoja kudaiwa kumpangishia Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ mjengo wa maana uliopo Makongo Juu jijini Dar ambapo Ijumaa limechimba ili kujua ukweli wa mambo. Madai hayo yaliibuka juzikati baada ya watu kibao wakiwemo mastaa kuhoji kwa nini modo huyo hakutajwa kwenye listi ya mastaa wa unga...